Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu nimetoka kuchukua Redmi 7A kwa ajili ya wife
Lakini upepo wa TRA umenipiga jumla 42,000, hata simu yenyewe naipokea bila furaha

Nimefika mapokezi muhudumu ananiuliza ww ni mgeni? Nikamjibu ndio!

Akasema tuone mtandao ulionunulia tujue Bei ya mzigo, nikazuga seller hajatuma Bei

Akasema akikutumia urudi tucheki..
Sikua na jinsi ikabidi nimfungulie simu akachukua acheki Bei halisi

wamenivua 42,000 TZS hiyo
Daah mkuu inamaana seĺler hajakutumia pdf attachment via email?
Au alikuwa hatoi ushirikiano??
** Muhimu tusisitize seller anapotuma mzigo akutumie kabisa declaration value maana hawajamaa wa TRA midà mingine wanakomoa.
Baadae nitaweka attachment hapa
 
Mkuu huyo fantacy hajareply hadi leo msg yangu, nilimuombea tangu tarehe 4 Oct
Sasa nikaona bora nikachukue hivyohivyo
Daah mkuu inamaana seĺler hajakutumia pdf attachment via email?
Au alikuwa hatoi ushirikiano??
** Muhimu tusisitize seller anapotuma mzigo akutumie kabisa declaration value maana hawajamaa wa TRA midà mingine wanakomoa.
Baadae nitaweka attachment hapa
 
Alafu hajaweka glass porotecter wakati niliadd
Nifanyeje nipate porotecter mkuu
Daah mkuu inamaana seĺler hajakutumia pdf attachment via email?
Au alikuwa hatoi ushirikiano??
** Muhimu tusisitize seller anapotuma mzigo akutumie kabisa declaration value maana hawajamaa wa TRA midà mingine wanakomoa.
Baadae nitaweka attachment hapa
 
Daah nikiona hii habar nawaza sanaa maana nimetok kulipia sim iko njian aisee sijui nitawaepukaje hao jamaa,,

Em tupeane maujanja wadau.
Mkuu nimetoka kuchukua Redmi 7A kwa ajili ya wife
Lakini upepo wa TRA umenipiga jumla 42,000, hata simu yenyewe naipokea bila furaha

Nimefika mapokezi muhudumu ananiuliza ww ni mgeni? Nikamjibu ndio!

Akasema tuone mtandao ulionunulia tujue Bei ya mzigo, nikazuga seller hajatuma Bei

Akasema akikutumia urudi tucheki..
Sikua na jinsi ikabidi nimfungulie simu akachukua acheki Bei halisi

wamenivua 42,000 TZS hiyo
 
Wakuu hayo maneno kwenye Update yanamaanisha kitu gani?
Screenshot_2019-10-10-18-47-49~2.jpeg
 
Mkuu nimetoka kuchukua Redmi 7A kwa ajili ya wife
Lakini upepo wa TRA umenipiga jumla 42,000, hata simu yenyewe naipokea bila furaha

Nimefika mapokezi muhudumu ananiuliza ww ni mgeni? Nikamjibu ndio!

Akasema tuone mtandao ulionunulia tujue Bei ya mzigo, nikazuga seller hajatuma Bei

Akasema akikutumia urudi tucheki..
Sikua na jinsi ikabidi nimfungulie simu akachukua acheki Bei halisi

wamenivua 42,000 TZS hiyo
Hii Sasa ishakua taabu!

Hivi Bongo ni maduka gani wanauza hizi Xiaomi,maana ukishalipia hizo Kodi Bei inakua sawa tu na utakayokua umenunulia hapahapa.
 
Mkuu nimetoka kuchukua Redmi 7A kwa ajili ya wife
Lakini upepo wa TRA umenipiga jumla 42,000, hata simu yenyewe naipokea bila furaha

Nimefika mapokezi muhudumu ananiuliza ww ni mgeni? Nikamjibu ndio!

Akasema tuone mtandao ulionunulia tujue Bei ya mzigo, nikazuga seller hajatuma Bei

Akasema akikutumia urudi tucheki..
Sikua na jinsi ikabidi nimfungulie simu akachukua acheki Bei halisi

wamenivua 42,000 TZS hiyo
Aisee Pole Mkuu.

Ila hawa jamaa wapunguze Kodi ili watu wapende kulipa kodi,21% ni parefu sana
 
Mkuu nimetoka kuchukua Redmi 7A kwa ajili ya wife
Lakini upepo wa TRA umenipiga jumla 42,000, hata simu yenyewe naipokea bila furaha

Nimefika mapokezi muhudumu ananiuliza ww ni mgeni? Nikamjibu ndio!

Akasema tuone mtandao ulionunulia tujue Bei ya mzigo, nikazuga seller hajatuma Bei

Akasema akikutumia urudi tucheki..
Sikua na jinsi ikabidi nimfungulie simu akachukua acheki Bei halisi

wamenivua 42,000 TZS hiyo
Hiyo kodi ulipewa control namba ya kulipia?!
 
Back
Top Bottom