Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nilienda posta wakasema nisubiri hadi nitumiwe msg, nikasema mzigo unasoma uko chini ya TRA wakasema wao bado hawajaupokea toka TRA hivyo nisubiri nikitumiwa msg niende nikachukue mzigo wangu palepale Posta

So now niko nasubiri nipate hiyo msg.. track no. Inasoma mzigo uko chini ya Customs tangu tarehe 4 mwezi huu..

Gharama sijui watanicharge Bei ngapi maana sijawahi pokea mzigo wenye track no. Inayosoma "mzigo uko chini ya customs"

Mzigo ni smartphone
Mkuu tupe mrejesho, vipi mzigo uliupata?! Na je ulilipa kiasi gani TRA?!
 
Nilienda posta wakasema nisubiri hadi nitumiwe msg, nikasema mzigo unasoma uko chini ya TRA wakasema wao bado hawajaupokea toka TRA hivyo nisubiri nikitumiwa msg niende nikachukue mzigo wangu palepale Posta

So now niko nasubiri nipate hiyo msg.. track no. Inasoma mzigo uko chini ya Customs tangu tarehe 4 mwezi huu..

Gharama sijui watanicharge Bei ngapi maana sijawahi pokea mzigo wenye track no. Inayosoma "mzigo uko chini ya customs"

Mzigo ni smartphone
Sawa Mkuu. Utatujuza zaidi
 
Naomba Muongozo hapa.
Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta.
Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection.
Tracking inasomeka hivo.
Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?
Screenshot_2019-10-09-15-49-52-024_com.alibaba.aliexpresshd.jpeg
 
Naomba Muongozo hapa.
Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta.
Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection.
Tracking inasomeka hivo.
Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?View attachment 1227613
Tracking inaonesha order completed maana yake nini?
 
Hao Yanwe ni nyoko mamaeeee zao. Utaupata ila kwa kuchelewa sana
Naomba Muongozo hapa.
Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta.
Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection.
Tracking inasomeka hivo.
Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?View attachment 1227613
 
Mie ilichukua siku 90. Siku naenda posta naukuta. Iliisha mida seller aka extend, ukaisha, akaniomba niwe na subra. Nami ckutaka kukomaa na ki shilingi elfu 12 kuwa refunded. Hatimae nikaupata

Ushauri ni bora kugharamika ukatumia
Singapore post
China registered airmail au
Aliexpress standard shipping (singapore)

Kama huna stress za kumsumbua seller, tumia hizo zingine, Ikiwepo
china small packet parcel
Itachukua muda gani mkuu maana saiz zimeshafika siku 60
 
Naomba Muongozo hapa.
Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta.
Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection.
Tracking inasomeka hivo.
Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?View attachment 1227613
Wahuni tu hawa..hesabu November hapo!
 
Naomba Muongozo hapa.
Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta.
Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection.
Tracking inasomeka hivo.
Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?View attachment 1227613
Hapo mimi huwa sina mjadala na gonga OPEN DISPUTE.
Hata kama ni buku mbili. Purchase protection ikiisha sijui utaanza kumdai nani zaidi ya kuwa na matumaini tu kuwa mzigo utafika ila hujui ni lini.
 
Kwa uzoefu wangu Hao jamaa wanafikiSha mzigo ndani ya siku 40 au hata 60 nishawahi kuopen dispute kama mara 3 hivi baada ya kuona protection time inakaribia ukingoni.
Mara zote Nilipata refund then baada ya wiki 2-4 mzigo huoo so ikabidi niwalipe upya.
 
Tracking inaonesha order completed maana yake nini?
Je umeenda kucheck posta?
Hao jamaa nyoko sana yaani ukishaagiza yabidi upotezee tu pia wana tabia ya kuchange tracking number.
Mi kunakipindi niliagiza nikapewa tracking number S00000050872494 Kila niki track Hola ila nikaja kukuta parcel posta imekuja kwa tracking nyingine kabisa LP004070011TZ
 
Posta nimecheki hamna.
Ila kwa maelezo ya posta ni kwamba hizo parcel zikifika dar wanazipa tracking number mpya.
Je umeenda kucheck posta?
Hao jamaa nyoko sana yaani ukishaagiza yabidi upotezee tu pia wana tabia ya kuchange tracking number.
Mi kunakipindi niliagiza nikapewa tracking number S00000050872494 Kila niki track Hola ila nikajua kukuta parcel posta imekuja kwa tracking nyingine kabisa LP004070011TZ
 
Hiyo tracking number ni ya Tz so ilitolewa na posta.
 
Kwa uzoefu wangu Hao jamaa wanafikiSha mzigo ndani ya siku 40 au hata 60 nishawahi kuopen dispute kama mara 3 hivi baada ya kuona protection time inakaribia ukingoni.
Mara zote Nilipata refund then baada ya wiki 2-4 mzigo huoo so ikabidi niwalipe upya.
Yule seller alie ni refund, mzigo ukafika miezi kadhaa mbele, imebidi niagize mzigo mwingine na bei ilikuwa imeshuka kidogo. Then baada ya siku kama saba nika confirm kuwa nime pata mzigo.
 
Hiyo tracking number ni ya Tz so ilitolewa na posta.
Ndo inavyoonekana ila sijaelewa why posta tz wabandike sticker yenye tracking nisiyoijua ambayo ni tofauti kabisa na Ile niliyopewa na Seller?
Hawa courier
1.China post small packet plus
2.4PX Singapore post omo pro
3. Yanwen Economic Air mail
4.Sunyou Economic Air mail

Agiza tu pale unapokuwa huna pressure ya kupata mzigo hivi Karibuni.
 
Mkuu nimetoka kuchukua Redmi 7A kwa ajili ya wife
Lakini upepo wa TRA umenipiga jumla 42,000, hata simu yenyewe naipokea bila furaha

Nimefika mapokezi muhudumu ananiuliza ww ni mgeni? Nikamjibu ndio!

Akasema tuone mtandao ulionunulia tujue Bei ya mzigo, nikazuga seller hajatuma Bei

Akasema akikutumia urudi tucheki..
Sikua na jinsi ikabidi nimfungulie simu akachukua acheki Bei halisi

wamenivua 42,000 TZS hiyo
Sawa Mkuu. Utatujuza zaidi
 
Back
Top Bottom