Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

小米 ( xiaomi / xiăomĭ ) is composed of these characters: 小 (xiao) , 米 (mi) in Swahili (shao-mi)
Mtaalamu wetu nimeagiza mzigo huu hapa, je unauelezeaje kwa jinsi unavyoufahamu labda?
Screenshot_20191007-171529.jpeg
Screenshot_20191007-171529.jpeg
Screenshot_20191007-171449.jpeg
Screenshot_20191007-171449.jpeg
Screenshot_20191007-170507.jpeg


Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Mtaalamu wetu nimeagiza mzigo huu hapa, je unauelezeaje kwa jinsi unavyoufahamu labda?View attachment 1225969View attachment 1225971View attachment 1225972View attachment 1225973View attachment 1225975

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Ni simu ambayo nimebahatika kuitumia kwa muda kidogo, kwa bei yake hautojutia kuimiliki, ipo vizuri kuanzia kwenye performance kwa mid users, build quality pia camera nzuri kwa bei hiyo naona ni bora sana. Kwa watu waliozoea hizi simu pendwa za Tekno wakiiona lazima udenda uwatoke yaani kila mtu alikuwa akiiona anauliza hii ni simu gani?? Na wanaazima wapigie picha. Hautojutia hakika! Kwenye Mapungufu yapo ila kwa bei hiyo naweza kusema haina mapungufu.
 
Redmi note 7 Pro inauzwa

Ram 6GB
Storage 128 GB
Battery 4000mAh

Bei 600,000 Tsh.

Imenunuliwa July mwishoni.
Haina scratch yoyote.
Kila kitu kipo, utapewa mpaka risiti.

Sababu ya kuuza:Nataka hela nimefulia
Simu iko Dar

Mawasiliano:natokahapa@gmail.com au PM
View attachment 1226353View attachment 1226354View attachment 1226355View attachment 1226356View attachment 1226357View attachment 1226358View attachment 1226359View attachment 1226360
Mkuu nipo nje ya mada kidogo
Hiyo font nimeipenda inaitwaje?
Umeipata wapi?
 
Redmi note 7 Pro inauzwa

Ram 6GB
Storage 128 GB
Battery 4000mAh

Bei 600,000 Tsh.

Imenunuliwa July mwishoni.
Haina scratch yoyote.
Kila kitu kipo, utapewa mpaka risiti.

Sababu ya kuuza:Nataka hela nimefulia
Simu iko Dar

Mawasiliano:natokahapa@gmail.com au PM
View attachment 1226353View attachment 1226354View attachment 1226355View attachment 1226356View attachment 1226357View attachment 1226358View attachment 1226359View attachment 1226360
naona ni chinese ROM haisumbui google play store?
 
Vp tracking ya RB?
Mzigo kuwa FGN au DP inategemea na tracking number utakayopewa, nikimaanisha kama seller atakutumia mzigo kawaida au kama Regista.

Kwa uzoefu wangu mimi FGN inakuwa mizigo ile niliyolipia shipping na tracking number yake inakuwa inaanza na R (RP au RB kutegemea kama mzigo umetumwa na China Post au Singapore post) kuna ile ya LP pia nimepokea kama FGN.

DP inakuwaga sana sana ile mizigo yenye tracking number zinazoanza na U (UC/UN/UG) hii ndio ile mizigo yetu inayochukuwa miezi kuwasili. Na hapa kuna mawili kuna ile mizigo unapokea (kwa Dar pale posta makao makuu) kule counter number kumi na Private bag, sasa hapa sielewagi maana kuna mizigo nanunua kutoka eBay na shipping nalipa bei kubwa sana alafu napokea Private bag na bado natoa 2350.

RDP hii mara nyingi ni mizigo ile ya bei kubwa au ina vitu kama nguo, viatu, begi au electronics ambayo inaonekana taxable na TRA. Tracking number yake pia inakuwa inaanza na R. Kwa mimi mizigo yangu iliyoingia huku ilikuwa na tracking number ya (RF, RY, RV) QUOTE]
 
Back
Top Bottom