Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Customs wameweka mateka mzigo wangu
Naomba mnisaidie ofisi naweza pata huu mzigo ni wapi
IMG_20191005_112532.jpeg
 
Ndugu mzigo wangu uko chini ya customs Nisaidie wasinifyeke sana nikaitumia simu kwa maumivu

AliExpress fantacy Seller hajibu msg bado yuko holiday je hakuna njia nyingine ya kumpata, mwenye mawasiliano naye anisaidie
Bahati yako mbaya mzigo ulitiliwa mashaka mkuu.
Some time umwambiage seller akutumie Declaration value invoice via email.
 
Mkuu nipe mbinu, kwa mara ya kwanza nami nimewekwa kibindoni na TRA
Sasa nataka Jumatatu nikawaangushie sign
Hii ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo online so sikuwa na experience ya kutosha. Mzigo nimeununua kama 450K. Sikuwa najua seller kaandika sh ngapi kwenye mzigo wangu. Customs nikaulizwa umenunua sh ngapi nikasema laki mbili na nusu hapo nikawa nahofia pengine seller kaandika actual price nikaonekana muongo. Basi nikapigiwa mahesabu based on hiyo 250K, ambayo nikalipia 52K. Ile nimekuja pewa mzigo wangu nilijiona mjinga sana aisee. Kumbe seller kaandika thamani ya mzigo ni USD 40.
 
jamani naomba mtalaamu anaeweza kuunlock redmi note 6 pro iliyolocked na mi account mafundi wa mwanza wameshindwa, namba yangu 0765682453 nipo mwanza
 
Dah! Sasa mkuu Nisaidie mbinu wasinifyeke kupitiliza
We nenda pale wanapotrack mzigo watakupa kikaratasi uende ukalipie. Hapo utalipia gharama za kutoa mzigo posta, ambazo kuanzia tar 1 ya juzi ni 5900 badala ya 2500 iliyokuwa zamani. Baada ya kulipia utaambiwa uende ukasubiri mzigo ambapo ni sehemu ya Customs. Utaitwa jina lako, kisha utaoneshwa mzigo wako. Bahati ikiwa yako utaulizwa huu mzigo una thamani gani ?. Hapo sasa ndo mahali pako pa kujidai incase ukipata nafasi kama hiyo. Mtajie bei ambayo itakuwa rafiki kwako. Ukumbuke bei utakayotaja watakupigia hesabu hapo. Ni kama 21% ya bei utakayotaja.
 
Kumbe hadi kutoa mzigo kuna gharama
Sijawahi pitia hii
Nimezoea naitwa na posta nachukua mzigo bila makato yoyote, leo hii nikakatwe hela ya kutoa!!?

Kwahiyo nikichelewa kuchukua mzigo, makato yanaongezeka?

Asante ndugu
We nenda pale wanapotrack mzigo watakupa kikaratasi uende ukalipie. Hapo utalipia gharama za kutoa mzigo posta, ambazo kuanzia tar 1 ya juzi ni 5900 badala ya 2500 iliyokuwa zamani. Baada ya kulipia utaambiwa uende ukasubiri mzigo ambapo ni sehemu ya Customs. Utaitwa jina lako, kisha utaoneshwa mzigo wako. Bahati ikiwa yako utaulizwa huu mzigo una thamani gani ?. Hapo sasa ndo mahali pako pa kujidai incase ukipata nafasi kama hiyo. Mtajie bei ambayo itakuwa rafiki kwako. Ukumbuke bei utakayotaja watakupigia hesabu hapo. Ni kama 21% ya bei utakayotaja.
 
Duuuh Bei imepanda hivyo..!? Toka 1500=5900

Nadhani kuna shida kwenye uandishi wa anwani.

Chakufanya, wapigie TPC hq, wape hiyo tracking number na wape maelekezo na mzigo utakufikia.

au Fika wewe binafsi posta mpya waonyeshe hiyo print out na watakusaidia kuutafuta huo mzigo na utakabidhiwa.
Kabla kuja humu niliwacheck jamaa wakajibu watafuatilia kwanini parcel inalandalanda then wangenijuza but ikawa ndo kimya!!!
Nadhani Bora niwapandie huko huko juu kama ulivyoshauri.
 
Shida namtafuta seller fantacy kupitia profile yake ya AliExpress ili nipate Bei aliyoandika ila hajajibu hadi sasa

Sasa sijui kuna njia nyingine naweza tumia kumpata
Washaanza kuzitolea macho hizi xiaomi!!!
hapo usikute watu wa Tecno ndio wameloga kwamba MI zinaingia kimagumash na kuwavurugia soko lao.
 
Shida namtafuta seller fantacy kupitia profile yake ya AliExpress ili nipate Bei aliyoandika ila hajajibu hadi sasa

Sasa sijui kuna njia nyingine naweza tumia kumpata
Jamaa huwa hawajibu mapema Ila seller wengine haizidi SAA 1 umeshajibiwa tayari.
Haina jinsi yabidi ujiongeze mwenyewe kwa jamaa was TRA
 
Sellers huwa wazito kukujibu, Ila wao sasa wakiwa na shida na wewe wanakuchangamkia balaa. Mi niliagiza Xiaomi Mi Store, yalibaki kama masaa 3 muda wa kuprocess kuisha na ye bado hajatuma mzigo, mbona nilipigiwa WhatsApp call saa 12 asubuhi.
 
Sawa mkuu itabidi nikawasikilize labda wanaweza nifanyia uungwana

Vipi nisubiri wanitumie msg au niende nikachukue bila kutumiwa msg

Back
Top Bottom