Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nilisha unlock Bootloader ya xiaomi Mi A1 na ku install TWRP, ku i root, na ku flash pia bila hiyo Mi Account.
Si kwamba nimeongea kitu ambacho sikifahamu.
Mi A1 hautumii MIUI ROM inatumia android one hiyo haina procedure yoyote ngumu kuondoa bootloader yake just a single fastboot command na bootloader lock yake inakuwa imeondoka, tofauti na zile za MIUI.
 
Nakubaliana na unachokisema lakini si kwa asilimia mia kwasababu hiyo Mi A1 ikiwa china inaitwa Mi 5X. So mimi niliagiza Mi 5X ambayo ina MIUI. Ila seller akanitumia Mi 5X lakini ikiwa na Rom ya Mi A1 (Android one) ambayo ni global Rom hapo ni wazi waliiflash. Je waliiflash vipi na ilikuwa na MIUI?

Mdau hapo juu yampasa akeshe kwenye mitandao kutafuta solution kama hiyo simu aliipata kihalali.
 
Zamani kulikuwa kuna option ya kuflash kupitia EDL bila ku unlock bootloader nakumbuka hata mimi nilisha flash dev ROM kwenye redmi note 3 pro.

Android ni OS ambayo anytime unaweza ifanya vyovyote.
Hivyo tujipe imani tu kuwa xiaomi zina security, lakini ikipata mjanja unaipoteza.
 
jinsi ya kuchange chinese ROM into global tunafanyaje?
Hii itawezekana endapo hiyo simu ina version mbili zenye kufanana. Mfano hiyo hiyo Mi5x na MiA1. Ni simu moja yenye ROM mbili tofauti.

Tofauti na hapo basi ukomae na Custome Roms ambazo nazenyewe kuna mawili uharibu simu yako au ukutane na mapungufu kwenye hiyo Rom.
 
Vipi kuhusu RN6P ni ROM mbili au moja?
Hii itawezekana endapo hiyo simu ina version mbili zenye kufanana. Mfano hiyo hiyo Mi5x na MiA1. Ni simu moja yenye ROM mbili tofauti.

Tofauti na hapo basi ukomae na Custome Roms ambazo nazenyewe kuna mawili uharibu simu yako au ukutane na mapungufu kwenye hiyo Rom.
 
Wakuu sangawejr, deojames kwahiyo issue ya simu yangu nisahau maana sijapata msaada effectively
Kwa sasa sina mbinu yoyote ya kuitoa labda wadau wengine wanaweza kuwa na soln. Kama unaweza mpata original owner itakuwa rahisi.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, leo nimepokea mzigo wa kwanza kati ya miwili niliyoiagiza kwaajili majaribio kupitia AliExpress(Standard Shipping).

Mzigo umechukua siku 18 tu ukaingia DSM na siku 2 kuja huku niliko, hakuna malipo yoyote pale Posta tena huyu muhudumu wa Posta kachukua namba yangu ya simu kwaajili ya kunitaarifu juu ya mzigo wangu mwingine utakapofika.

Sasa rasmi naagiza Xiaomi Redmi Note 7.
IMG_20190923_144710.jpeg
IMG_20190923_144742.jpeg
IMG_20190923_144654.jpeg
 
Back
Top Bottom