Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

kwahyo ni level za Tecno
Hiyo hapo
Screenshot_2019-09-11-17-56-39-780_org.mozilla.firefox.jpeg
 
kwahyo ni level za Tecno
Umidigi sio level ya Tecno mkuu, hizi zenyewe wanajitahidi kwenye build quality pia kuweka zile MTK chipset zenye nguvu kabisa ambazo Tecno hawaweki kwenye hata flagship zao. Mfano Umidigi X imeipita kila idara Tecno Phantom 9 simu ya laki saba wakati Umidigi X unaipata around laki tano na ushee.
IMG_20190901_101814.jpeg
IMG_20190831_094848.jpeg
 
Chief samahan unaeza nielekeza namna ya kufanya malipo ni vitu gan napaswa niwe navyo
Sawa Chief. Vitu vya kuzingatia kufanya mpaka kuagiza mzigo mtandaoni ni kama ifuatavyo:-
1.MasterCard, au VisaCard ya benk.
2.Kama huna kadi ya Benk basi tengeneza VodaCom M-Pesa MasterCard na hakikisha umeweka pesa huko.
3.Mzigo uliouchagua kununua.
4.Carrier aneoupost mi natumia AliExpress standard shipping anafikisha mzigo kwa haraka.
5.Anwani yako, mtaa, kijiji, kata,wilaya,mkoa na taifa.
6.Agiza mzigo na usubiri.
 
Ushauri ninunue ipi kati ya xiomi 6A, xiomi note 7 na doogee N20?

Description:

Basic InformationModelDOOGEE N20(4GB+64GB)Band

2G: GSM: B2(1900)/B3(1800)/B5(850)/B8(900)

3G: WCDMA: B1(2100)/B8(900)

4G: FDD-TLE: B1(2100)/B3(1800)/B7(2600)/B8(900)/B20(800

SIM CardDual SIM Card Dual Standby (1 Nano-SIM + 1 Nano-SIM or 1 Nano-SIM+ 1 TF Card)StyleBarColorObsidian Black, Phantom PurpleSystemOSAndroid 9.0 PieCPUHelio P23(MT6763V/V), Octa Core, 4X Cortex-A53 up to 2.0GHz, 4X Cortex-A53 up to 1.5GHz,GPUARM Mali-G71-MP2 700MHzRAM4GBROM64GBCard ExtendSupport TF Card up to 128GB extendedScreenDisplay Size6.3 Inch FHD+ Waterdrop DisplayResolution2280*1080 PixelPixel Density428ppiTypeIPSPanel TechnologyMulti-touchSupport FormatAudio Playback FormatMP3/ M4A/ AAC/ MKA/ AMR/ ALAC/ FLAC/ APE/ WAVVideo Playback FormatSupport AVI, MP4, WMV, RMVB, MKV, MOV, ASF, RM, FLV and Other Video Formats up to 720p@30fpsVideo Produce FormatSupport up to 720p@30fps Video ShootingData Transfer & ConnectivityData transferUSB/bluetoothMobile internetWAP/WiFiEarphone Port3.5mmFeaturesCamera/Picture
Resolution

Triple Rear Camera: 16MP+8MP+ 8MP F/2.0

130° Wide-angle

OIS
LED Flash

Front Camera: 16.0MP F/2.0

80° Wide-angle

MessageSMS/MMSLanguageEnglish, Spanish, Portuguese (Brazil), Portuguese (Portugal), Italian, German, French, Russian, Arabic, Malay, Thai, Greek, Ukrainian, Croatian, Czech,Simplified Chinese, Traditional Chinese.(It has updated 48 languages)InputHandwrite/KeypadWIFISupportbluetoothSupportOTASupportOTGSupportGPSSupportSensorG-sensor, Proximity Sensor, Ambient Light SenorFingerprintRear Fingerprint Unlocking
0.1s Unlock
360° IdentificationDimensions158.96*77.1*8.4mmWeight160gBattery4350mAh(Built in Polymer Battery, 5V/2A)Other FeaturesCalculator, Clock, Calendar, Music, Sound Recorder, Vide Player, FM Radio, etc.Package Included1 x DOOGEE N20 Phone1 x USB Cable1 x EU Charger(5V/2A)1 x User Manual1 x Warranty Card1 x Eject pin
 
Mkuu ushapata mzigo wako, dar wana let down sana, mimi mzigo imefika tangu tarehe 9 asbh dar. Mpk leo haujafika Singida. Yan posta Tanzania kero sana.

Wenye uzoefu na mizigo kuja mikoani watuambie inachikuaga siku ngapi toka dar kuja mkoa.
Maana mizigo iliopita nilipokelea dar
Nimeupata leo asubhi..nilienda kuulizia akajibu ulifika jioni!

Hlf hawa seller kweny bei ya bidhaa naona wanaandika pungufu ya ile niliyolipia! Tuseme kama kitu ni 40000 anaandika 20000 (in $ form)..labda kuna kitu wanakwepa bidhaa inaposafirishwa.
 
Nimeupata leo asubhi..nilienda kuulizia akajibu ulifika jioni!

Hlf hawa seller kweny bei ya bidhaa naona wanaandika pungufu ya ile niliyolipia! Tuseme kama kitu ni 40000 anaandika 20000 (in $ form)..labda kuna kitu wanakwepa bidhaa inaposafirishwa.
Wanawakwepa Customs
Asipofanya hivyo ,utapigwa USHURU/KODI mpaka UCHAKAE na TRA ,Tuwashukuru sana sellers ,kwa wanachotufanyia ,kupunguza Bei halisi ya Bidhaa

Sometimes ,ukichat nae anaweza kuandia bidhaa ni GIFT ,ukachukia buree bila makato kato
 
Hapo nyuma nimeagiza mizigo mingi sana ikiwemo simu kadhaa sikuwahi kukutana na tozo pale posta.
Lakini sasa imefika mizigo mitatu kila mzigo naambiwa niulipie Tsh 2350. Na ni small packages.
Na hata shipping mzigo miwili nimelipia shipping.
Lakini risiti inaonesha ni gharama za shipping.
Hiyo ni kwaajili ya allocation of parcel.
 
Wanawakwepa Customs
Asipofanya hivyo ,utapigwa USHURU/KODI mpaka UCHAKAE na TRA ,Tuwashukuru sana sellers ,kwa wanachotufanyia ,kupunguza Bei halisi ya Bidhaa

Sometimes ,ukichat nae anaweza kuandia bidhaa ni GIFT ,ukachukia buree bila makato kato
TRA wamepewa mamlaka ya kufungua parcel but wamepotezea ila sasa kwa hizi comments naona mnataka kuwaamsha jamaa waanze kufungua moja moja na kucalculate upya.
Tumekimbia kule DHL mnataka kuharibu na huku pia?
 
WTF? Natumia Equity VisaCard kulipia na ina balance ya 10k... Mzigo wenyewe naotaka kuagizia ni wa $3.4 lakini inagom! Msaada wakuu
Screenshot_20190913-125731.jpeg
 
Back
Top Bottom