Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

hao ni singapore post boss wakati mwingine kitu ninaweza kufika hata ndani ya siku 8 seuze hizo wiki 2
kwa nyie wa Dizzim mnafaidi sana maana kuna muda item inafika DAR kwa 8days wakati sisi mikoani tunaipata mpk 14days while hapo Dar umefika day 8
 
Hivi hawa Post NL ni wazuri kama AE std shipping? Nimeona wao estimated delivery date ni 23-39days while AE Std ni 23-43days
Niliwatumia mwaka Jana niliagiza Miracle box tarehe 06/08/2018 na mzigo Nikachukua tarehe 29/08/2018.
Ila kwa sasa sijui wapo vipi maana hata China post registered walikuwa vizuri sana tofauti na sasa.
 
Bora kukomaa na Aliexpress standard shipping
 
Mkwawa naomba unipe ufafanuzi kuhusu hili. Simu ni aina moja ila unakuta model ziko tofauti namna hii.
Screenshot_2019-09-11-10-04-16-313_com.gsmarena.android.jpeg
 
Mkuu ushapata mzigo wako, dar wana let down sana, mimi mzigo imefika tangu tarehe 9 asbh dar. Mpk leo haujafika Singida. Yan posta Tanzania kero sana.

Wenye uzoefu na mizigo kuja mikoani watuambie inachikuaga siku ngapi toka dar kuja mkoa.
Maana mizigo iliopita nilipokelea dar
Kwahy ni nani mwenye nayo mana haieleweki
 
Nimetoka kukuuliza tu nika track kwa web ya posta nikaona mzigo umetuwa nimetoka kuchukua saizi. Umidigi a5 Pro
Mkuu ushapata mzigo wako, dar wana let down sana, mimi mzigo imefika tangu tarehe 9 asbh dar. Mpk leo haujafika Singida. Yan posta Tanzania kero sana.

Wenye uzoefu na mizigo kuja mikoani watuambie inachikuaga siku ngapi toka dar kuja mkoa.
Maana mizigo iliopita nilipokelea dar
 
Mkuu ushapata mzigo wako, dar wana let down sana, mimi mzigo imefika tangu tarehe 9 asbh dar. Mpk leo haujafika Singida. Yan posta Tanzania kero sana.

Wenye uzoefu na mizigo kuja mikoani watuambie inachikuaga siku ngapi toka dar kuja mkoa.
Maana mizigo iliopita nilipokelea dar
Nadhani huwa wanatuma mikoani mara 1 au mbili kwa wiki shida inakuja iwapo utaratibu wao ni kutuma kila J3 asubuhi sasa parcel yako ikaingia Dar J3 Mchana au j4 itabidi usubiri hadi j3 nayofuata.
 
Mizigo inayokuja mikoani kwa mkoa kama Dodoma inasafirishwa kila siku muda wa usiku na inafika asubuhi Dodoma.
20190911_171639.jpeg
 
Hawana uzuri wowote ule kwani mizigo yao hadi iende Amsterdam halafu ndio itumwe kuja kwenye nchi zetu. Bora Singapore Post mizigo inaenda Change International Airport ambapo ni karibu na China hivyo mizigo inawahi kufika kutokana na ukaribu uliopo kati ya China na Singapore.
Hivi hawa Post NL ni wazuri kama AE std shipping? Nimeona wao estimated delivery date ni 23-39days while AE Std ni 23-43days
 
Hawana uzuri wowote ule kwani mizigo yao hadi iende Amsterdam halafu ndio itumwe kuja kwenye nchi zetu. Bora Singapore Post mizigo inaenda Change International Airport ambapo ni karibu na China hivyo mizigo inawahi kufika kutokana na ukaribu uliopo kati ya China na Singapore.
Nilitaka kuwatumia ila baadae nikaruka futi 100, kumbe ni ndugu na Malaysia Post mizigo mpaka ifike kwanza South Africa.
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom