Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,519
hao ni singapore post boss wakati mwingine kitu ninaweza kufika hata ndani ya siku 8 seuze hizo wiki 2AliExpress Standard shipping
hao ni singapore post boss wakati mwingine kitu ninaweza kufika hata ndani ya siku 8 seuze hizo wiki 2AliExpress Standard shipping
Mbn hawako kila bidhaa hao jamaaa wana wengin usumbufu tuuuhao ni singapore post boss wakati mwingine kitu ninaweza kufika hata ndani ya siku 8 seuze hizo wiki 2
Hivi hawa Post NL ni wazuri kama AE std shipping? Nimeona wao estimated delivery date ni 23-39days while AE Std ni 23-43dayshao ni singapore post boss wakati mwingine kitu ninaweza kufika hata ndani ya siku 8 seuze hizo wiki 2
Chief samahan unaeza nielekeza namna ya kufanya malipo ni vitu gan napaswa niwe navyoMzigo unakuja uko njiani...View attachment 1203805
kwa nyie wa Dizzim mnafaidi sana maana kuna muda item inafika DAR kwa 8days wakati sisi mikoani tunaipata mpk 14days while hapo Dar umefika day 8hao ni singapore post boss wakati mwingine kitu ninaweza kufika hata ndani ya siku 8 seuze hizo wiki 2
Niliwatumia mwaka Jana niliagiza Miracle box tarehe 06/08/2018 na mzigo Nikachukua tarehe 29/08/2018.Hivi hawa Post NL ni wazuri kama AE std shipping? Nimeona wao estimated delivery date ni 23-39days while AE Std ni 23-43days
Bora kukomaa na Aliexpress standard shippingNiliwatumia mwaka Jana niliagiza Miracle box tarehe 06/08/2018 na mzigo Nikachukua tarehe 29/08/2018.
Ila kwa sasa sijui wapo vipi maana hata China post registered walikuwa vizuri sana tofauti na sasa.
Banggood sijawahi tumia aisee. Nimeona bei zao kama nikubwa kuliko za AliExpress.Pia kwa bangood ni njia zipi ambaz ni nzuri zile shipping carier kama AE standard shiping
Banggood sijawahi tumia aisee. Nimeona bei zao kama nikubwa kuliko za AliExpress.
Ndio bei zao zipo juu.Banggood sijawahi tumia aisee. Nimeona bei zao kama nikubwa kuliko za AliExpress.
Kwahy ni nani mwenye nayo mana haieleweki
Mkuu ushapata mzigo wako, dar wana let down sana, mimi mzigo imefika tangu tarehe 9 asbh dar. Mpk leo haujafika Singida. Yan posta Tanzania kero sana.
Wenye uzoefu na mizigo kuja mikoani watuambie inachikuaga siku ngapi toka dar kuja mkoa.
Maana mizigo iliopita nilipokelea dar
Nadhani huwa wanatuma mikoani mara 1 au mbili kwa wiki shida inakuja iwapo utaratibu wao ni kutuma kila J3 asubuhi sasa parcel yako ikaingia Dar J3 Mchana au j4 itabidi usubiri hadi j3 nayofuata.Mkuu ushapata mzigo wako, dar wana let down sana, mimi mzigo imefika tangu tarehe 9 asbh dar. Mpk leo haujafika Singida. Yan posta Tanzania kero sana.
Wenye uzoefu na mizigo kuja mikoani watuambie inachikuaga siku ngapi toka dar kuja mkoa.
Maana mizigo iliopita nilipokelea dar
Mizigo inayokuja mikoani kwa mkoa kama Dodoma inasafirishwa kila siku muda wa usiku na inafika asubuhi Dodoma.Nadhani huwa wanatuma mikoani mara 1 au mbili kwa wiki shida inakuja iwapo utaratibu wao ni kutuma kila J3 asubuhi sasa parcel yako ikaingia Dar J3 Mchana au j4 itabidi usubiri hadi j3 nayofuata.
Hivi hawa Post NL ni wazuri kama AE std shipping? Nimeona wao estimated delivery date ni 23-39days while AE Std ni 23-43days
Nilitaka kuwatumia ila baadae nikaruka futi 100, kumbe ni ndugu na Malaysia Post mizigo mpaka ifike kwanza South Africa.Hawana uzuri wowote ule kwani mizigo yao hadi iende Amsterdam halafu ndio itumwe kuja kwenye nchi zetu. Bora Singapore Post mizigo inaenda Change International Airport ambapo ni karibu na China hivyo mizigo inawahi kufika kutokana na ukaribu uliopo kati ya China na Singapore.
hivi UMIDIGI zipo poa kama XIAOMI?Nimetoka kukuuliza tu nika track kwa web ya posta nikaona mzigo umetuwa nimetoka kuchukua saizi. Umidigi a5 Pro
hivi UMIDIGI zipo poa kama XIAOMI?
kwahyo ni level za TecnoMTK chipset