Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mi nimeagiza ila ni Chinese bado sijaitia mikononi nitaipata hivi soon nawaza sijui kama itakuwa iko poa kama global sijui wadau mnasemaje....nahis kama ela yangu itakuwa imeenda bure
Mkuu bei za Chinese version zinakua chini kidogo au hebu tuwekeee bei tufanye tathmini
 
Mi nimeagiza ila ni Chinese bado sijaitia mikononi nitaipata hivi soon nawaza sijui kama itakuwa iko poa kama global sijui wadau mnasemaje....nahis kama ela yangu itakuwa imeenda bure
chinese version inakuja na china rom ambayo google services (playstore) is not well intergrated, So itabidi kuflash Global rom kwene hio chinese version then from there you are good to go. nadhani global rom ipo katika website ya xiaomi

source; reddit.com
 
Pia kuna jinsi ya kuweka playstore katika hiyo Chinese Version mkuu bila kuflash Rom.
 
chinese version inakuja na china rom ambayo google services (playstore) is not well intergrated, So itabidi kuflash Global rom kwene hio chinese version then from there you are good to go. nadhani global rom ipo katika website ya xiaomi

source; reddit.com
Mmh bila kuwa na global ROM siwez kutumia? Line za kibongo zitasoma? Hizo play store and other google services nasikia ni simple kuziinstall
 
Laini za bongo zote zinasoma tena bila wasiwasi kabisa ndugu iko poa tu sema mimi nilikua nakua boad na zile apps za kichina ambazo ni built in hazifutiki kiurahisi ila nahisi kama sijakosea Chinese version ina features nyingi zaidi
 
Hatimaye Redmi Note 7 Pro ipo mkononi.... ila shida nimeletewa Chinees version.... kutumia Playstore ni shida kubwa sana
 
20190712_233610_rmscr-1.jpg

Xiaomi Mi A3

"Elements of copying here"
 
Back
Top Bottom