Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kitu cha Gcam ndani ya Xiaomi Redmi note 7
00000IMG_00000_BURST20190702154856828_COVER.jpeg
 
Wakuu hiki ni nini n kinasaidia nini kwenye simu zetu za xiaomi ajuaye anijuze
 

Attachments

  • Screenshot_2019-07-06-23-35-39-417_com.xiaomi.hm.health.png
    Screenshot_2019-07-06-23-35-39-417_com.xiaomi.hm.health.png
    19.6 KB · Views: 36
  • Screenshot_2019-07-06-23-40-57-292_com.xiaomi.hm.health.png
    Screenshot_2019-07-06-23-40-57-292_com.xiaomi.hm.health.png
    16 KB · Views: 48
Free shipping labda kwa vitu vidogo ( China post small packet plus) maana inachelewa kinyama.
Wengine wanaandika "estimated d.time is null day" yan haijulikan au utapata refund...kuna koti nalitaka tangu juz mana niliko kuna kuna baridi sana..linauzwa 22K+ ila sasa shipping yake ni 65K+ so total inakua 88K hiv na lipo fresh sana..kwa njia ya kawaida shipping ni 65K..nimeamua niliache tuu..hakuna free
 
Back
Top Bottom