Nimefika boss Ahsante sana nimekuta Protector ni 5000 kwa 10,000 Na cover 10,000.Namba na jina la duka]View attachment 1145127
Nimefika boss Ahsante sana nimekuta Protector ni 5000 kwa 10,000 Na cover 10,000.Namba na jina la duka]View attachment 1145127
Vip kusu bei zao za xiomi??Nimefika boss Ahsante sana nimekuta Protector ni 5000 kwa 10,000 Na cover 10,000.
Sikuulizia boss.Vip kusu bei zao za xiomi??
Aseee mkuu umeacha maelezo muhimu sana paleSikuulizia boss.
Unahitaji kufahamu bei ya simu gani boss wangu kwa pale nimeziona nyingi ni 5A na s2 na nyinginezo.Aseee mkuu umeacha maelezo muhimu sana pale
Mkuu niuzie hyo shati yako ya mistari mistari,imekutoa sana na hyo modo yako nyeusi..Sorry boss picha nlizopiga zote sio nzur kuweka jf imenibidi ntoke nje nipige zingine mkuu wangu ambazo ni common...nmeogopa ban kutoka kwakoView attachment 1138785View attachment 1138786View attachment 1138787View attachment 1138788View attachment 1138790View attachment 1138791
Miui 10.3.1 ndiyo yenye dark mode.....so kama untumia miui 10.2 hamna.....update to 10.3 ...dark mode ipo na ndio nayotumiaWakuu hivi Redmi 7 ina future ya dark mode?
AsanteMiui 10.3.1 ndiyo yenye dark mode.....so kama untumia miui 10.2 hamna.....update to 10.3 ...dark mode ipo na ndio nayotumia
Wakuu hiki ni nini n kinasaidia nini kwenye simu zetu za xiaomi ajuaye anijuze
🤔 Unaweza pata.
Samsung A20 inakubali installation ya Gcam?
Free shipping labda kwa vitu vidogo ( China post small packet plus) maana inachelewa kinyama.Kumuotea mtu wa free shipping ni kazi dah
Wengine wanaandika "estimated d.time is null day" yan haijulikan au utapata refund...kuna koti nalitaka tangu juz mana niliko kuna kuna baridi sana..linauzwa 22K+ ila sasa shipping yake ni 65K+ so total inakua 88K hiv na lipo fresh sana..kwa njia ya kawaida shipping ni 65K..nimeamua niliache tuu..hakuna freeFree shipping labda kwa vitu vidogo ( China post small packet plus) maana inachelewa kinyama.
Asante nilifanikiwa kununua Redmi note 7 ya 4gb,64gb. Kama kuna mtu anahitaji nimwachie Kwa 520,000 Tu. Imetumika siku mojaHizi hapa.
Naweka kw faida ya wengiView attachment 1145128