pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 4,643
- 3,020
Unatumia simu ganiKitu full screen mode na dark mode .hebu nawe tupia features zinazokukosha au uzijuazo tuwe pamoja wazee wa xiaomi
Unatumia simu ganiKitu full screen mode na dark mode .hebu nawe tupia features zinazokukosha au uzijuazo tuwe pamoja wazee wa xiaomi
Redmi 7 gb 32eclipse blackUnatumia simu gani
Hii inatofauti gani na redmi note 7Redmi 7 gb 32eclipse black
Sio mbwembwe mkuu, hiyo ni fitness tracker inaweza ku monitor daily activities,... wewe wacheki wahindi/wachina na nchi zilizoendelea wengi wanapenda sana kuvaa hizi kitu, Dunia inaenda kasi sanaa, kama haujawahi tumia hauwezi kuona umuhimu wake. Pia kama wewe ni mwana mazoezi inafaa sana hii kitu, inahesabu mapigo ya moyo, kiasi cha calories kilicho chomwa. Kuna zingine zinapima hadi blood oxygen, blood pressure, pia una uwezo wa ku schedule events mbalimbali na kuweza kuku-notify Kwa vibration, mf: Mi band 4 ina microphone, so unaweza kuitumia kwenye voice assistant, pia zipo ambazo zimeenda mbali zaidi na kuwasaidia dada zetu kujua mzunguko wa siku zao za kila mwezi,...Mbwembwe tu!!!
Kimsingi ni saa janja ya kuvaa mkononi yenye vikorombwezo vingi ikiwemo uwezo wa kuwa connected na simu yako hivyo inaweza kukupa alert pindi unapotumiwa sms, whatsap au kupigiwa simu.
Kwa maana kwamba simu unaweza kuiweka mfukoni call zikiingia smartwatch yako inavibrate na utaona Nani kakupigia so utaamua umjibu au umpotezee so inasaidia kutoichomoa simu mara kwa mara hasa unapokuwa Danger zone.
Tofauti ni hii nyingine redmi note 7 kubwa zaidi ya redmi 7 boss wangu sehemu nyingi imepitwa kasoro life battery tu.Hii inatofauti gani na redmi note 7
kariakoo kuna maduka ma2 nayajua unaweza kupata hiyo batteryBattery og za mi max zinapatikana wapi kwa hapa Dar?
Anauza na Protector boss wangu?kariakoo kuna maduka ma2 nayajua unaweza kupata hiyo battery
Kariakoo longo longo tu.Anauza na Protector boss wangu?
Ma winger hao tunawaita wazee wa machimbo kuna jamaa alishawahi nidandia na Mi yangu oooh zipo hizo nazijua kwenda kule ananionyesha madude ya Tecno nikampa buku nikasepa wakati hayo machimbo alonipeleka nami nayafahamu vizuri na najua kama k/koo huwezi pata vifaa vya hii Brand na hata ukikuta basi bei itakuwa mkasi sana.Kariakoo longo longo tu.
Kuna mdau humu alidai anazo protector za one plus but Ile nafika dukani kwake ananiambia subiri nikakuchukulie akanikalisha saa nzima na protector lenyewe sikuliona.
We bila shaka ni mwalimu!!!Nakushukuru kwa shule fupi bila hata lesson plan. Very good!
Hapana ila nimesomaWe bila shaka ni mwalimu!!!
Gonga pro kabisa bossHapa ngoja niende likizo nikirudi nanunua Xiaomi mi note 7 ni simu bomba sana
Hapa ngoja niende likizo nikirudi nanunua Xiaomi mi note 7 ni simu bomba sana
Mkuu version ipi ni nzuri kwa gcam inayofaaa kwenye redmi 7yanguUsisahau Gcam
Jaribu latest port ya BSGMkuu version ipi ni nzuri kwa gcam inayofaaa kwenye redmi 7yangu
Hiyo ni redmi 7 sio Note 7 kwa matakwa yake.Jaribu latest port ya BSG
Au anza kutest hii
Google Camera Port for the Redmi Note 7.apk | App by Explaining Android for Redmi Note 7
Google Camera port that works for the Redmi Note 7androidfilehost.com
Anhaa dah kumbe redmi 7,hiyo adimHiyo ni redmi 7 sio Note 7 kwa matakwa yake.