Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nani amewahi tumia hizi kitu? Je kuna ambazo zinadumu last long na charge atleast hata 3 to 4hr au 5hrs
TZS 10,318.69 10%OFF | IBESI i7s TWS Wireless Headphones Bluetooth Earphone In-ear Stereo Earbud Headset With Charging Box For iPhone Xiaomi huawei
 
Asubhi hii nimepigiwa simu posta kuwa nna mizigo mi 3. Na mmoja umekaa sana wakipiga simu sipokei walipanga siku zikifika waurudishe ulikotoka

Nitaenda kuchukua nitaleta feedback. Bado miwili tu ndio ipo njiani kati ya Mitano. Im now confident than ever.

Mizigo 4 kati ya mi 5 nilinunua tarehe 21/5
 
Asubhi hii nimepigiwa simu posta kuwa nna mizigo mi 3. Na mmoja umekaa sana wakipiga simu walipanga siku zikifika waurudishe ulikotoka

Nitaenda kuchukua nitaleta feedback. Bado miwili tu ndio ipo njiani kati ya Mitano. Im now confident that ever.

Mizigo 4 kati ya mi 5 nilinunua tarehe 21/5
hii ni nzuri mnoo inanipa moyo na mimi mgeni kwenye hii kitu
 
Duuh kitu cha dark mode na full screen mode ni nouma .tupia features zingine unazozipenda twende pamoja team xiaomi
 
Hii band 3 nini mkuu? Naangalia uwezekano wa kununua REDMI 7 naona na hiyo band 3.

Nipe shule kidogo
Mbwembwe tu!!!
Kimsingi ni saa janja ya kuvaa mkononi yenye vikorombwezo vingi ikiwemo uwezo wa kuwa connected na simu yako hivyo inaweza kukupa alert pindi unapotumiwa sms, whatsap au kupigiwa simu.
Kwa maana kwamba simu unaweza kuiweka mfukoni call zikiingia smartwatch yako inavibrate na utaona Nani kakupigia so utaamua umjibu au umpotezee so inasaidia kutoichomoa simu mara kwa mara hasa unapokuwa Danger zone.
 
Nakushukuru kwa shule fupi bila hata lesson plan. Very good!
 
Nakushukuru kwa shule fupi bila hata lesson plan. Very good!
Kuna mabandiko mengi kuzungumza hiyo kitu so ukieleza kwa kirefu ni sawa na kurudia kutoa maelezo ya kitu kile kile.
 
Asante
Kuna mabandiko mengi kuzungumza hiyo kitu so ukieleza kwa kirefu ni sawa na kurudi kutoa maelezo ya kitu kile kile.
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom