Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hebu angalia huu uzi kuna mahali mdau mmoja alishatolea maelekezo. Hiyo ni Chinese vision? Kama hiyo tafuta playstore kwenye store ya hizo Chinese applications utaipata.Ndani ya simu yako.
Simu haina playstore, ndo nilijaribu kuiweka
 
Hebu angalia huu uzi kuna mahali mdau mmoja alishatolea maelekezo. Hiyo ni Chinese vision? Kama hiyo tafuta playstore kwenye store ya hizo Chinese applications utaipata.Ndani ya simu yako.

Sawa ngoja nikaangalie post za nyuma, ila wao playstore hawana, nimekuta wana chrome, youtube na vingine
 
Nimeagiza Xiaomi Note 7 Pro 6gb of RAM na 132gb of ROM mwenye uzoefu please
 
Sawa ngoja nikaangalie post za nyuma, ila wao playstore hawana, nimekuta wana chrome, youtube na vingine
JE uriwka play service na zile app zingine za awali kabla ya kuweka play store?......sio play store peke ake hata gmail chrome na google app zote zitagoma.......kama utakuwa bado hauja solve ni PM nkupe ufundi
 
Na redmi note 4,baada ya kuupdate kwenda miui 10 sioni sehem ya setting kwa sms lengo ni kuset deliver report.
Pia napata shida kwenye kuset screen timeout nimehangaika ww bila mafanikio sion option hyo
.mwenye uelewa anipe mwongozo tafadhali
IMG_20190610_004627.jpeg
Screenshot_2019-06-10-00-42-12-538_com.android.settings.jpeg
Screenshot_2019-06-10-00-42-26-490_com.android.settings.jpeg
 
Na redmi note 4,baada ya kuupdate kwenda miui 10 sioni sehem ya setting kwa sms lengo ni kuset deliver report.
Pia napata shida kwenye kuset screen timeout nimehangaika ww bila mafanikio sion option hyo
.mwenye uelewa anipe mwongozo tafadhaliView attachment 1123375View attachment 1123376View attachment 1123377
Nenda setting=> apps then navigate app ya sms ifungue utaona setting zote huko.
Kuhusu time out wenye MIUI 10 watakusaidia maana sina kifaa cha xiaomi
 
Na redmi note 4,baada ya kuupdate kwenda miui 10 sioni sehem ya setting kwa sms lengo ni kuset deliver report.
Pia napata shida kwenye kuset screen timeout nimehangaika ww bila mafanikio sion option hyo
.mwenye uelewa anipe mwongozo tafadhaliView attachment 1123375View attachment 1123376View attachment 1123377
Ukitaka Timeout nenda Setting kisha Lock screen & password kisha ukiingia humo nenda Sleep chagua hapo mda wako sijui nimekusaidia ama sikuelewa swali lako!
 
Kwanini usitumie AliExpress wadau wengi wametoa testimony mizigo inafika Kama inapotea unadai refund. Mimi pia niliagiza simu mwezi wa 5 nimeipata bila shida.

Sijawahi agiza bidhaa online,nipe elimu kidogo nione kama nawezafanya hivyo.
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom