Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nipe link ya Flash mkuu GB 128
Kampuni Unayoiamini ,niagize
TZS 11,238.69 51%OFF | SanDisk 100% Original Genuine Ultra Flair USB 3.0 USB Flash Drive 16GB 32GB 64GB 128GB Pen Drive Memory Stick 10 years warranty

TZS 29,854.92 43%OFF | Original Samsung USB 3.1 Pendrive 32GB 64GB 200MB/S Memoria Usb 3.0 Flash Drive 128GB 256GB 300MB/S Mini U Disk Memory Stick
 
Yeah hiyo chap kwa haraka tu ila RN6 PRO Mtiti kidogo.
Kitu hii imepigwa kwenye note 7 via Gcam
FB_IMG_1560015147972.jpeg
 
Zinafaa kwa matumizi ya kwenye simu vizuri tu sio?
Boss kitu kikiwa faster ndio mzuka zaidi so ukiweka kwenye simu yako hizo extreme au extreme pro zinapendeza sana hakuna Yale mambo ya app kucrash au audio na video kugoma kucheza.
Kama ushawahi kurecord video ya Muda f'lan then ikagoma kucheza jua memory ndio ilikuwa majanga ila hizo unarecord hadi Full HD resolution bila ya shida tatizo ni bei yake kuwa imechangamka kidogo.
Kawaida Memory inayofaa ni kuanzia class 10 kuendelea ila huku bongo ni nadra kuzipata maana wanatupiga sana kwa kutuuzia zile za level za chini class 2-6.
Check jedwari hapo chini utaelewa why hizo extreme pro ni nuksi.

1122201
[
 
View attachment 1122201[
Dah nmeona mkuu, Ngoja nijichange tu niagizie hiyo Extreme pro staki shida mimi...
 
Hii maana yake nini mzigo ushafika Kwangu? Nisaidieni kusoma hio tracking wazoefu. Maana hii update ya juzi na mie nipo mkoa, au nisubiri ikifika pia nitapewa update?

2. Mzigo huu umekuja fasta sana chini ya wiki 3. Kuna mmoja tangu 07May status ipo "accepted by airline" hiyo airline mwezi na zaid sasa haija ship wakati huu wa juzi ilipopokelewa tu na airline kesho yake ukaondoka.

Nna mizigo mingine kama 5 hivi pia naisubiri nione kama itawai. Sellers wali ship within 24hrs.
Screenshot_20190609-174620_AliExpress~2.jpeg
 
Mzigo umefika nafikiri unaenda kwenye anuani uliyoitumia hapo juu.hivyo unaweza kufika posta na kuulizia.
Hii maana yake nini mzigo ushafika Kwangu? Nisaidieni kusoma hio tracking wazoefu. Maana hii update ya juzi na mie nipo mkoa, au nisubiri ikifika pia nitapewa update?

2. Mzigo huu umekuja fasta sana chini ya wiki 3. Kuna mmoja tangu 07May status ipo "accepted by airline" hiyo airline mwezi na zaid sasa haija ship wakati huu wa juzi ilipopokelewa tu na airline kesho yake ukaondoka.

Nna mizigo mingine kama 5 hivi pia naisubiri nione kama itawai. Sellers wali ship within 24hrs. View attachment 1122913
Huo mwingine umejaribu kuwasiliana na Muuzaji? Labda hajautuma Kwa hiyo dai refund yako. Au shipment yake ulikuwa ya bure. Cha msingi ongea na seller mjue mnafanya nini.
 
Mzigo umefika nafikiri unaenda kwenye anuani uliyoitumia hapo juu.hivyo unaweza kufika posta na kuulizia.Huo mwingine umejaribu kuwasiliana na Muuzaji? Labda hajautuma Kwa hiyo dai refund yako. Au shipment yake ulikuwa ya bure. Cha msingi ongea na seller mjue mnafanya nini.
Seller kasema utakuwa bado kwenye mchakato transit, akasema napaswa kusubiria kwakuwa siku za kusubiri ni 60. Hapa deadline ni tarehe 19 mwezi huu.
Na tracking ilionesha katuma, mara ya mwisho iliganda kuwa umepokelewa na airline. Sasa hao airline hawajaondoka mwezi sasa na siku 2
 
Hii maana yake nini mzigo ushafika Kwangu? Nisaidieni kusoma hio tracking wazoefu. Maana hii update ya juzi na mie nipo mkoa, au nisubiri ikifika pia nitapewa update?

2. Mzigo huu umekuja fasta sana chini ya wiki 3. Kuna mmoja tangu 07May status ipo "accepted by airline" hiyo airline mwezi na zaid sasa haija ship wakati huu wa juzi ilipopokelewa tu na airline kesho yake ukaondoka.

Nna mizigo mingine kama 5 hivi pia naisubiri nione kama itawai. Sellers wali ship within 24hrs. View attachment 1122913
Mkuu huo mzigo upo njiani Kuja huko mikoani na ukifika utapata update au Posta watakupiga simu ila si vibaya ukaenda posta kuuliza.
Kuhusu hiyo mingine Inategemea shipping uliyo chagua maana China post registered mail siku hizi zinachukua hata mwezi na kama ulichagua small packets plus hapo ni siku 40 hadi miezi 2
 
Kwakuwa ulikuwa ni mzigo wa kwanza sikujua habari yakuchagua ila ilitumia China small percel. Huu uliofika umetumia china registered mail.

Shipping ipi ipo fasta zaidi? Maana saiz naagiza tu nishaiona aliexpress kama k.koo japo sijapokea hata mmoja nna percel 5 njiani
 
Singapore post au aliexpress standard shipping ndio ziko faster sana alafu inafuatia China post registered mail na mwisho kabisa bei chee ni China post small packet plus ndiyo hiyo haina tracking update ya kueleweka, inaweza ikaganda hapo "accepted by airline" hadi mzigo unakufikia
Mimi hiyo small packet plus natumia kwa vitu vidogo vidogo nisivyo na haraka navyo hata vikifika baada ya wiki 8 haina shida.
 
Wakuu msaada nina kaxiaomi kapya hapa, nimeinstall playstore kwa kutumia apk, ila nikiifungua tuu inajifunga, nifanyeje ipige kazi
 
Back
Top Bottom