Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kuna mnyama ajaye anaitwa redmi k20 ...nahisi flagships zitapata taaabu saaana....time to replace my Pocofone f1
 
Mbona Samsung A 80 tayari anayo hiyo flip camera kitambo.
Nazungumzia ushindani wa kisoko mana ndani ya muda mfupi kuna brand mpya inatoka.
Saiv Pocophone F2 ipo njiani...Redmi K20 ipo njian...oneplus wapo sokon tayar..Mi9 wapo sokon..asus zenfone 6 ndy tayr sokon nao.....na nyingn kibao. Sasa kwa mtindo huo na ukizingatia simu zinazokuja, zina tabia zinazofanana kwa sehem kubwa, soko lao linapungua.
Samsung wanauza ghali vitu vyao. Saiv ime-leak tayr note 10 series na itakua ni ghal sana. Iphone 11 ipo leaked pia. Huawei p30 pro ndy tusiongeee kabsa. Google ndy huyu naye google pixel 4 na 4XL zipo leaked tyr
 
Hivyo ndo vizuri waache washindane tunaofaidika watumiaji kwani ujio mpya wa kampuni zenye majina hafifu zinaleta unafuu wa bei, makampuni makubwa yanapunguza Bei pia
Nazungumzia ushindani wa kisoko mana ndani ya muda mfupi kuna brand mpya inatoka.
Saiv Pocophone F2 ipo njiani...Redmi K20 ipo njian...oneplus wapo sokon tayar..Mi9 wapo sokon..asus zenfone 6 ndy tayr sokon nao.....na nyingn kibao. Sasa kwa mtindo huo na ukizingatia simu zinazokuja, zina tabia zinazofanana kwa sehem kubwa, soko lao linapungua.
Samsung wanauza ghali vitu vyao. Saiv ime-leak tayr note 10 series na itakua ni ghal sana. Iphone 11 ipo leaked pia. Huawei p30 pro ndy tusiongeee kabsa. Google ndy huyu naye google pixel 4 na 4XL zipo leaked tyr
 
Mbona Samsung A 80 tayari anayo hiyo flip camera kitambo.
Kaangalie feature ya hiyo rotating camera ya A80 na feature ya hii zenfone 6 vizuri utaona tofauti.

Kwanza kabisa ukiacha ubora wa camera tu fliping mechanism ni tofauti. Na hii inaifanya zenfone 6 kuweza kushot picha zaidi ya pande mbili tulizozizoea yaani nyuma ya simu (rear) na selfie. while A80 ni rear na selfie tu.

Pili Camera ya A80 haina uwezo wa kurecord 4k video pindi itakapokuwa kwenye mtazamo wa selfie, while Zenfone inakupa feature zote za rear camera kwenye mwonekano wa selfie including 4k video recording.

Tatu ultra wide angle ya camera ya Zenfone 6 ni wide kuliko hata S10 baba wa huyo A80.

Nne ili kuipop up hiyo camera (yaani kufanya hiyo camera ya A80 irotate kuja mbele) simu inafanya operation mbili kwanza ina slide kwenda juu kisha ndio camera irotate ambapo more operations kwenye motorized device ni more risky.
Kwa Asus zenfone 6 operation ni moja tu yaani inaflip ( inajibinua tu pasipo kuslide) kuhamia mbele au angle yeyote utakayotaka kwa nyuzi 180°.

Hapo kwa Camera imeashatosha kumchallenge A80 .
 
Sawa mkuu nimekupata barabara !

Daaah ,hapa ndio nimeamini kale kamsemo ka "Mambo Mengi,Mda Mchache"
 
MSAADA USHAURI
Niko njia panda nataka nichukue kati ya Mi A2 au redmi note 7
Mi A2 inasapoti google camera na ina android one
Redmi nimevutiwa na camera ya 48MP na fast charging
Kama note 7 basi ichukue ile ya pro ndo utaifaidi unless chukua tu hiyo mi a2 ila haina headphone jack yaani hutoweza weka charge huku unasikiliza MUSIC maana port ya charge ndo hiyo ya Earphone. So far chakuvutia mi a2 haina matangazo na iko fast sana maana haina mambo mengi bila kusahau Ushubwada wa CAMERA ya GCAM kwa zile POTRAIT.
 
Asante kwa ushauri
Note 7 na Mi A2 bei affordable. 7 pro bei imechangamka kidogo
 
MSAADA USHAURI
Niko njia panda nataka nichukue kati ya Mi A2 au redmi note 7
Mi A2 inasapoti google camera na ina android one
Redmi nimevutiwa na camera ya 48MP na fast charging

Kwenye upande wa chipset zote zina Snapdragon 660, Mia A1 ina 3000mAh battery wakati Redmi Note 7 ina 4000mAh battery, kwa upande wa camera hazipishani sana kwa ubora, bali utofauti ni kwenye MP, pia kwenye price kwa sasa Mi A2 ipo nafuu zaidi ukilinganisha na Redmi Note 7. Mie naona Mi A2 ni worth for the money.
 
Mi A2 ni US$ 159.99 + 3.15 shipping
Note 7 ni US$ 164.99 + 3.15 shipping
 
Back
Top Bottom