The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,440
- 10,232
Duuuh mkuu umeshusha sana yan..haiwezekan kwa jins ilivyo oneplus 7 pro iwe kuanzia 300usd. Xiaomi Mi9 ni bei gani kama wajuaSimu ikishavuka $400 - $500 tunaitoa kwenye mid range phones...Hiyo simu ni ghali mkuu labda unafuu wake upo ukicompare na flagships zinazouzwa $900 mpaka $1000.
Kinachoipa sifa kampuni ya xiaomi ni kwamba Xiaomi atakupa simu yenye features sawa na hizi flag ship kama hiyo one plus 7 pro kwa $300 - pre $500 . Kitu kinachofanya hizi kampuni kubwa kuonekana zinaover price simu zake kwa kutumia tu brand yake.