Huipati hiyo simu kwa sasa labda ukanunue huko huko india au China boss babatisha Gearbest na BanggoodWadau..
Hivi xiaomi redmi 5 plus yenye ram 4gb internal 64gb used approximately 3 months inaweza kuuzwa bei gani?
Huipati hiyo simu kwa sasa labda ukanunue huko huko india au China boss babatisha Gearbest na BanggoodWadau..
Hivi xiaomi redmi 5 plus yenye ram 4gb internal 64gb used approximately 3 months inaweza kuuzwa bei gani?
Sorry mkuu..Huipati hiyo simu kwa sasa labda ukanunue huko huko india au China boss babatisha Gearbest na Banggood
Inategemeana na huyo aliyenayo aliinunua kwa bei gani na anaiuza kwa dhumuni gani, kupanga bei si rahisi!Sorry mkuu..
Hujanielewa swali langu..
Yaani nauliza km ipo na ina io condition, bei sahihi ya kuiuza ni shilingi ngapi??
Okay mkuu, so bei reasonable letsay wewe ungenunua,inge range kiasi gani?Inategemeana na huyo aliyenayo aliinunua kwa bei gani na anaiuza kwa dhumuni gani, kupanga bei si rahisi!
Isizidi laki tatu na nusu. Ukiuziwa juu ya hapo ni bora utafute latest version.Okay mkuu, so bei reasonable letsay wewe ungenunua,inge range kiasi gani?
Shukrani mkuu..Isizidi laki tatu na nusu. Ukiuziwa juu ya hapo ni bora utafute latest version.
Unauza?Bora Atulie 5plus used 200k. Isizidi
Anhaa sawa mkuu.Sorry mkuu..
Hujanielewa swali langu..
Yaani nauliza km ipo na ina io condition, bei sahihi ya kuiuza ni shilingi ngapi??
Naona Oneplus 7 series tayr imeshatoka. Hii simu haiuzwi ghali kivile......mfano hiyo The OnePlus 7 Pro with 6GB/128GB ita retail for $669! The 12GB/256GB model ita cost $749.....8GB/256GB ina cost $699.
4000mAh battery...android 9 pie with oxgenOS. No waterproofing .
Sio ghali mkuu..hawa hua wanatoa simu ambazo bei zake c kubwa kulinganisha na samsung😆😆 Uko vizuri boss $749 sio ghali dah tutapambana na Mi tu huku kwakweli.
Jamaa yupo Sahihi mkuu,Kwa specifications hizo ,akitoa samsung au Iphone ,na kwa bei hizo ,Dunia itasimama,Tutaona malaika wakicheza na kuimba kwa furahaUko vizuri boss $749 sio ghali dah tutapambana na Mi tu huku kwakweli.
Kabsa mkuu. Samsung kuongeza tu GB ifike 128, bei inakua kubwa sanaJamaa yupo Sahihi mkuu,Kwa specifications hizo ,akitoa samsung au Iphone ,na kwa bei hizo ,Dunia itasimama,Tutaona malaika wakicheza na kuimba kwa furaha
Nilidhani 749K kumbe sio....😆😆 Uko vizuri boss $749 sio ghali dah tutapambana na Mi tu huku kwakweli.
Simu ikishavuka $400 - $500 tunaitoa kwenye mid range phones...Hiyo simu ni ghali mkuu labda unafuu wake upo ukicompare na flagships zinazouzwa $900 mpaka $1000.Naona Oneplus 7 series tayr imeshatoka. Hii simu haiuzwi ghali kivile......mfano hiyo The OnePlus 7 Pro with 6GB/128GB ita retail for $669! The 12GB/256GB model ita cost $749.....8GB/256GB ina cost $699.
4000mAh battery...android 9 pie with oxgenOS. No waterproofing .
Congratulations OnePlusNaona Oneplus 7 series tayr imeshatoka. Hii simu haiuzwi ghali kivile......mfano hiyo The OnePlus 7 Pro with 6GB/128GB ita retail for $669! The 12GB/256GB model ita cost $749.....8GB/256GB ina cost $699.
4000mAh battery...android 9 pie with oxgenOS. No waterproofing .
Naona Xiaomi nao wanajipanga kuwapiku oneplus. Tusubr tuone yao. Ni aina ipi au toleo gani wanatoa this yr na mwez gani?Congratulations OnePlus
team!
There's a new flagship in town.
Flagship Killer 2.0: coming soon.. Hold my dragon!
View attachment 1098062
Nahisi watafanya mapinduzi kwa Pocophone f2...maana wameedelay kwa muda kidogo ili wasome mchezo unaendaje.Naona Xiaomi nao wanajipanga kuwapiku oneplus. Tusubr tuone yao. Ni aina ipi au toleo gani wanatoa this yr na mwez gani?
Mkuu mbn ukiwa na hela, hii kitu ni nyepes tu kuchukuaNilidhani 749K kumbe sio....
Kwa bei hiyo kitu lazima kije kwa DHL then kinaingia kwenye tanuri la TRA daah watu tunatofautiana asee yaani ni 1,800,000 tsh kabisa hiyo