Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Naona Upadates ya MIUI 10.3.2.0 imekuja na feature moja ya EMERGENCY SOS ambapo unaset namba za watu kadhaa na ujumbe flani ambao kama itatokea unashida au kuna hali flani huwezi kuandika ujumbe una TAP ×5 Power Off Na ujumbe unajituma kwa zile no. Na location na last one hour Call History vinatumwa anyway naamini hii kitu kwa nchi za wenzetu ni nzuri sana ila sina hakika kwa Tz maana kila kitu tuko nyuma mfano mtu umetekwa na watu wasojulikana au tukio lolote endapo tu una fahamu bado inayokufanya usiweze tuma jumbe kwa watu ila hii njia inaweza saidia.

IMG_20190513_080522.jpg
 
Re

View attachment 1095693
Regional India?
 
Huwezi kupata hapa Tz ndugu yangu Hadi uagize.
Simu hazipo madukani unafikiri mfanya biashara gani ataleta spea zake?
Aende akatafute Aggrey huenda akabahatika kupata teh teh teeeh!!
Yaani simu uagize nga'mbo a'fu LCD display replacement utafute Tz?
Binafsi nilisaka Sana LCD ya one plus 2 pamoja na betri yake Ila sikupata Hadi nilipoagiza eBay.
LCD zinazopatikana bongo ni za kina Samsung,sony na simu nyingine zinazouzwa hapa tz Ila nyingi ni maji ya mchele yaani hazina ubora kabisa.
 
ukiachana na aliexpress, ebay na amazon iv sehem gan pengine pa kufanya online market, kama watoavyo huduma aliexpress
 
Wadau..
Hivi xiaomi redmi 5 plus yenye ram 4gb internal 64gb used approximately 3 months inaweza kuuzwa bei gani?
 
Back
Top Bottom