Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,033
- 9,785
Another tecno family
Xiaomi unaweza fananisha na tecno mkuu au una maana gani?!Another tecno family
Hapana zote ni snapdragon. Intel ameshasitisha Atom kwenye simu.alaa kumbe zipo mbili? Hivi hiyo ya chini ndo zile zenye processor za atom eh?
Aisee halafu kuna siku niliuliza kuhusu kubi tablets
Note 5 pro ina Miui update zake zinatoka kwa Xiaomi ila simu za Android one update zake zinatoka kwa google.Ahsanteh mkuu na android one hii imepata updates hii note 5 pro.
Kwa maana haipati hiyo updates mkuu kupitia hiyo MIUI.Note 5 pro ina Miui update zake zinatoka kwa Xiaomi ila simu za Android one update zake zinatoka kwa google.
SO SADAnother tecno family
Itapata ila updates za miui ama android yoyote ile ambayo haitoki kwa google zinachelewa compare na android ya google. Mfano sasa hivi majority ya simu za android one zimeshapata updates ya android 9. Pia unakuwa una uhakika na updates za security za kila.mwezi toka Google wenyewe.Kwa maana haipati hiyo updates mkuu kupitia hiyo MIUI.
Bei ni chini ya laki 4 zipo hadi za 320,000 Aliexpress. Angalia hapa zaidi.Mkuu Chief-Mkwawa , I am deeply interested with Xiaomi Redmi Note 4.
Gharama zipoje mpaka inifikie mkononi? kama nanunua online Alibaba ama Aliexpress. Utaratibu upoje kwa upande wako? Ahsante
Nilichanganya na ile tecno nyingine INFINIX...SO SAD
Kuifananisha XIAOMI na TECNO ni kudhihirisha hujui lolote kuhusu simu.
Na kudhalilisha hili jukwaa.
Nilimix na INFINIXXiaomi unaweza fananisha na tecno mkuu au una maana gani?!
Another tecno family
Dahhhh mkuu mpaka kichwa kiliuma Dahhh yaani xiaom kuifananisha na Tecno duhh ungetudhalilisha sanaNilimix na INFINIX
Pole kwa usumbufu...
Bei ni chini ya laki 4 zipo hadi za 320,000 Aliexpress. Angalia hapa zaidi.
Online Shop for Xiaomi redmi note 4 Wholesale with Best Price
Sina utaratibu wala siagizishii mimi, waone hawa watu kama unataka kuagizishiwa.
Mwl.RCT
msauziy
mcheki msauzyWakuu, nawasalimu, Naitaji battery orignal au second hand au yeyote itakayo fanya kazi vzr kwenyr hii xiaomi mi note lte, haina battery na kile ki-hub cha kuchomekea battery fundi aliking'oa kwa lengo la kufanya looping lakini imeshindikana AU kama kuna mwenye hili toleo imekufa kioo au simu yote imekufa aniuzie complite system ya battery yaani battery na hub yake, nawasilisha
0742961144
Umenunua kwa kiasi gani Mkuu?Choose Redmi Note 5, you will never regret
View attachment 874663View attachment 874664View attachment 874666