Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu Chief-Mkwawa , I am deeply interested with Xiaomi Redmi Note 4.

Gharama zipoje mpaka inifikie mkononi? kama nanunua online Alibaba ama Aliexpress. Utaratibu upoje kwa upande wako? Ahsante
 
Kwa maana haipati hiyo updates mkuu kupitia hiyo MIUI.
Itapata ila updates za miui ama android yoyote ile ambayo haitoki kwa google zinachelewa compare na android ya google. Mfano sasa hivi majority ya simu za android one zimeshapata updates ya android 9. Pia unakuwa una uhakika na updates za security za kila.mwezi toka Google wenyewe.

Ila hapa ni preference yako mwenyewe. Sio lazima kutumia android one, wengine wanapenda miui na features zake.
 
Kwa wale weny Mi Phone wana hitaji Play Store, Globar Rom ata uki Factory reset ina kuwepo kichina chote kina ondoka wasiliana nami
+255713089699
ksjphonefastfixing@gmail.com
Right Solution At Right Time
Mi redmi 3
Mi redmi 3s
Mi redmi note 3
Mi redmi note 4
Mi note lte
Mi redmi 5
Mi redmi 5x
Mi redmi 5 plus
Mi A1
Mi Max
Mi Max 2
Mi Max 3
Mi 2014502
Mi 2012121

Nina Model nyingi sana hapo pana tosha
 
Wakuu, nawasalimu, Naitaji battery orignal au second hand au yeyote itakayo fanya kazi vzr kwenyr hii xiaomi mi note lte, haina battery na kile ki-hub cha kuchomekea battery fundi aliking'oa kwa lengo la kufanya looping lakini imeshindikana AU kama kuna mwenye hili toleo imekufa kioo au simu yote imekufa aniuzie complite system ya battery yaani battery na hub yake, nawasilisha
0742961144
 
mcheki msauzy
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom