Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

BancABC kwa kushirikiana na MasterCard, wamezindua huduma mpya iitwayo M-Pesa-Mastercard ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania itakayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuweza kulipia huduma na bidhaa mitandaoni katika tovuti mbali mbali Duniani zinazopekea malipo kwa MasterCard. Kupata huduma hii ya Virtual Card piga *150*00# chagua lipa kwa M-Pesa, chagua M-Pesa MasterCard, kutengeneza kadi yako. Utapata Card Number, Expiration date pamoja na CVV Number ndani ya sekunde chache tu!
 
Hii mpk uwe na acc ya bancABC?

Em nitajie vitu vinavyohitajika kua navyo ili kufanikisha hili kwa mtu ambae hana acc yoyte ya bank
Simu na line ya Vodacom yenye huduma ya M-pesa tu.

Piga *150*00#
Chagua 4 lipa kwa Mpesa
Chagua namba 6
Chagua namba 1. Baada ya muda utapewa namba ya card na CVV.

Chakufanya tuma pesa kutoka mpesa kwenda kwenye card yako. Ndio ufanye manunuzi nk.

Hiyo card hu expire ndani ya mwezi 1.
 
Card ipi unayozungumzia? Na card inayoexpire mwez mmoja ni ipi
 
M-pesa hawatoi card physical bali wanakupa namba ambazo ndio wana assume kuwa ni mastercard.
Pamoja na tarakimu 3 zinaitwa CVV hizi hutumika pindi unataka kufanya payments.

Card inayo expire ni hiyo unayo pewa na vodacom, wameiwekea utaratibu wa ku expire kwa muda wa mwezi mmoja.
Iki expire ukihitaji tena una renew.

Bank nadhani huwa wanatoa miaka mitatu.

Hebu jaribu kwanza hilo zoezi hapo juu nadhani ndio tutaelewana kwa sms utakayo tumiwa na vodacom.
 
Mix 2. Hii ni high-end smartphone nzuri sana.
18:9 screen, 5.99" Full screen display
12% reduced chin size
Hidden speaker & proximity sensor
Snapdragon 835, 6GB RAM
Sony IMX386 sensor, 1.25μm large pixels
4-axis optical image stabilization
Four-sided curved ceramic body
7-series aluminum alloy frame
Global LTE support, 6 modes 43 bands

6938cf9ec5333e21f0d47ecb58ee2b0f.jpg
d697d6742a7f6eb8183fec9dc06ab1ca.jpg
00c9dea32663ce62e7845efb01782b34.jpg
7c693fa51673e603d1807c23e28a066f.jpg

eda733bc13320d0ea70a654d9a284011.jpg

Mkuu naomba cons na prons za hizi simu mbili na ipi ni zaidi interms of battery life,camera,muonekano na perfomance yaani kiujumla kati ya hizi mbili ipi unaweza nishauri nichukue.

Xiaomi redmi note 5 pro ma Xiaomi Mi A2.

Chief-Mkwawa

Kwa ufupi Mi A2 ni standard za ulaya, ni simu classic kama ilivyokuwa A1 ina prioritise quality over quantity, na note 5 yenyewe ni za huku kwetu vitu vingi ni vikubwa.

Uzuri wa A2 over note 5 pro
1. Ina soc yenye nguvu zaidi snapdragon 660 compare na snapdragon 636 ya note 5. Hivyo tegemea A2 kuwa na processor, gpu, modem etc vyenye nguvu zaidi.
2. Nyembamba na nyepesi zaidi
3. Inatumia android one hivyo itakuwa nyepesi na inayopata updates za haraka. Pia ulinzi utakuwa mkubwa.
4. Camera nzuri zaidi.
5. Full compability ya band zetu za 4g hapa Tanzania (tunashare na ulaya)

Uzuri wa note 5 pro over A2
1. Bei rahisi zaidi
2. Battery kubwa la 4000mah compare na 3000mah ya A2

Kama ni power user na hujali sana ukaaji chaji A2 ni simu nzuri zaidi. Ila kwa matumizi ya kawaida huna haja na sd660. Save hela yako nunua redmi note 5
 
Wanasema haina headphone jack je unasikilizaje music na mapungufu mengine ni yapi ya a2 ambayo ni ya umuhimu kwenye smartphone na vipi wa camera kwa note 5 pro na kuhusu sd sio swala sana kwangu.

Na pia unazungumziaje mi a2 lite compare na note 5 pro.
 
Wanasema haina earphone jack na mapungufu mengine ni yapi ya a2 ambayo ni ya umuhimu kwenye smartphone na vipi wa camera kwa note 5 pro na kuhusu sd sio swala sana kwangu.
Unatumia earphone za type c,na nafkiri inakuja na adapter ya type c kwenda 3.5mm jack.
xiaomi-mi-a2-pros-and-cons-3_13c0a154b16efeb654b83871f87e8910_935adec67b324b146ff212ec4c69054f.jpg

Kuhusu camera hata ya note 5 pro sio kwamba ni mbaya, ni nzuri pia sema tu A2 ni nzuri zaidi.

Vitu vyengine ni kwamba
-A2 haina memory card ila internal ni kubwa kuna 128gb na 64gb internal.
-pia naona site nyingi wanasema display yake sio nzuri kwenye mwanga mkali wa jua.
 
Muonekano wa note 5 pro naona wa kizamani hivi.
 
Back
Top Bottom