Mara nyingi hadi uagize online.Guys cover za Xiaomi RedMi5 naweza nikapata wapi hapa dar
Kama upo tayari njoo nikuagizie coz nataka kuagiza hiyo simu very shortly.Guys cover za Xiaomi RedMi5 naweza nikapata wapi hapa dar
Choose Redmi Note 5, you will never regretWakuu wenye uzoefu kwa bajeti ya 350k-400k naweza pata xiomi ipi ambayo ni Mi series??
Je vip kusu specification ya hiyo simu mnayoipendekeza kuanzia battery though ningependa zaid kuanzia 4000mAh..display...CPU..camera....ROM..RAM
Shukran.
Hii simu kali sana, mpaka bongo sh ngapi??Xiaomi Redmi note 6 pro, inatoka October 10 itakuwa chini ya $200.
View attachment 869136View attachment 869137
Hadi bongo ndo inakua shingap???Choose Redmi Note 5, you will never regret
View attachment 874663View attachment 874664View attachment 874666
Ni bange mpya kutoka ChinaNdo nini hiyo xia?
Yenye 3gb RAM & 32gb ROM bei yake hadi kufika inagharimu 385kHadi bongo ndo inakua shingap???
Unaisukuma mkuu.Choose Redmi Note 5, you will never regret
View attachment 874663View attachment 874664View attachment 874666
Hapana, siuzi.Unaisukuma mkuu.
Natafuta redmin note 5 pro... Napata wap dar, na price.....
Accessories zake tunaagiza China, hapa TZ hazipatikani kiurahisi.accessories zake tunapata wapi kwa bongo?
Mkuu PM tafadhali,nimeku-text toka janaAccessories zake tunaagiza China, hapa TZ hazipatikani kiurahisi.
Follow this link to message me on WhatsApp: Share on WhatsApp-Mkuu PM tafadhali,nimeku-text toka jana
Offer yako ngapi?Unaisukuma mkuu.
Natafuta redmin note 5 pro... Napata wap dar, na price.....
Kama unayo ebu weka spec zake na bei yako.wafuatuliaji wengi.natakaOffer yako ngapi?
Specs zake hizo hapo, memory 64GB. Bei 550,000Kama unayo ebu weka spec zake na bei yako.wafuatuliaji wengi.nataka
Hasa hawa TALA wanakera sana wengine vyuma havijakazaNi simu gani?