Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Kweli na mimi ninayo. Nzuri sana. Ila yangu ni ya kichina... mambo mengi ni kichina nilinunua Beijing , it was for China consumers. Kuna vitu vinanipiga chenga kwa sababu ya lugha.
 
Hello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
They call it "chinese Apple" very nice phone with big battery of 4000mah inatosha sana kwa siku nzima with fulk swing
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom