Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Angalia kwa wauzaji wengine hapo hapo aliexpress
Utakesha!!
AliExpress kulikuwa na Store 3 kubwa zilizokuwa zinaship hiyo model
1.X Show
2.Mi store
3. Fantancy
Sasa X shows nawaona hawaleti Tena xiaomi na hao mi store hawaship baadhi ya items.
Fantancy naona ndio kashika usukani ila baadhi ya model hawana mfano 4A, 4x etc
 
Msaada napataje touch ya redmi 4a nyeupe?
100% tested LCD display for Xiaomi Redmi 4A 5.0 inch Touch Screen for Xiaomi Redmi 4A Pro Global Digitizer Frame with Free Tools
100% tested LCD display for Xiaomi Redmi 4A 5.0 inch Touch Screen for Xiaomi Redmi 4A Pro Global Digitizer Frame with Free Tools-in Mobile Phone LCDs from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
Chukua hapo Kinagharimu tsh 36,000 complete na 46,000 complete with frame ( hiki huitaji Fundi yaani unajifungia Mwenyewe tu).
Mimi nilimchukulia jamaa mwezi wa 7 kipo poa Kama kilichokuja na simu.
Kama lengo ni kuchukua digitizer touch screen pekee wanauza 18,000 ila utalazimika kumlipa fundi wakukubandulia etc
 
Hivi wakuu kulingana na kukosa simu ya bajeti ya 285k kwa xiaomi aliexpress nimeona huawei honor 7a ya 2g ram,32gb rom na soc ya snapdragon 430 mnaizungumziaje kwa bei hiyo au mnaweza toa option kwa simu gani kwa bei hiyo?
Chief-Mkwawa msauziy
 
Sd 450 ni nzuri kushinda sd430, na pia ni 14nm. Ushauri wangu tafuta simu ya sd450 kama hio redmi 5.

Redmi 5 zipo kenya pia around 288,000 za kitanzania.
 
Sd 450 ni nzuri kushinda sd430, na pia ni 14nm. Ushauri wangu tafuta simu ya sd450 kama hio redmi 5.

Redmi 5 zipo kenya pia around 288,000 za kitanzania.
Naomba website mkuu nicheck hizo za kenya na je malipo yanakuwa vipi na usafiri na je hamna wapigaji huko?.Ahsanteh

Pia nimeziona simu kama oppo realme 2 na c1 ziko around 7000 indian rupee na 9000 sasa naomba kama kuna mtandao wanaship bongo wa india nisaidie nikachek huko hzi simu maana aliexpress hawana.
 
nahitaji earphone za xiaomi mwenye nazo naomba tuwasiliane kwa namba hii 0677991687 .Ofa yangu elfu 15K usafiri juu yangu
 
Aisee nasubiria Xiaomi redmi 5 x, nafikiri wiki ijayo itakua mikononi ,ikitua naiwakisha hapa .
 
Back
Top Bottom