Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

redmi 9 ni helio G80, Realbest ndio simu aliouliza huko juu, hio redmi note 9 4g nilitoa tu suggestion.

pia redmi note 9t si equivalent ya poco m3, labda kama umechanganya redmi 9t.

redmi note 9T inatumia mediatek dimensity 800U

hii comparison baina ya poco m3, redmi 9t na redmi note 9 4g, ni simu moja majina tofauti na region tofauti
siku huzi nimeshaathirika, nikioa simu ina mediatec naidharau moja kwa moja, nilikuwa na sony xpera xa1, ilikua na 4/64 helio, ilikuwa haina nguvu kabisa.

vipi kwa hizi nyingine unaizungumziaje hiyo chipset, ina maajabu labda??
 
Chief nahitaji msaad yako nini tofaut ya mtk na snapdragon?
Utofauti huo hapo
38dc4c1bb4f8dc544b535ae12ccf7a9f.jpg
 
Ila nadhani wanapromote pocco series , maana ndio cheapest ukilinganisha na redmi 9t au redmi note 9 4g, japo ni simu moja
Ndio sababu BBK kila siku anafungua tu brand mpya. Hata X3 yenyewe ina specs nzuri zaidi sd 732G compare na redmi note 9s/9 pro/9 pro max zenye sd 720G.
 
siku huzi nimeshaathirika, nikioa simu ina mediatec naidharau moja kwa moja, nilikuwa na sony xpera xa1, ilikua na 4/64 helio, ilikuwa haina nguvu kabisa.

vipi kwa hizi nyingine unaizungumziaje hiyo chipset, ina maajabu labda??
Wamejitahidi kusema kweli mediatek hasa suala la performance na battery life, processor zao za dimensity na hizi mpya zinazoanziwa na G zipo vizuri.

Sema bado hawatoi source code hivyo ku mod simu za mediatek bado ni ngumu na drivers ni za ovyo hivyo baadhi ya programs Pia zina run slow compare na nguvu ya simu.
 
Chief nahitaji msaad yako nini tofaut ya mtk na snapdragon?
Hizo ni brand tu kama unavyosema Samsung na Apple, wote wa natengeneza processor za simu.

Snapdragon wao mara nyingi vitu vyao vinakuwa quality kubwa, Gpu zao ni nzuri na wameshikilia zaidi soko la simu za bei ghali na bei za kati.

Mediatek wao Sana sana ni simu za bei rahisi, Ila wanakupa specs kubwa kuliko hela unayotoa.

Mwisho wa siku angalia mediatek ama snapdragon husika, kuna makampuni kibao mpaka Leo wa natumia processor za kale, hivyo ni vyema usiishie tu kuangalia Jina angalia kiundani zaidi.
 
Nauliza.... Baada ya huawei kuwekewa vikwazo na marekani.... Kuna tetesi kuwa anayefuata kuminywa ni Xiaomi.... Je kuna ukweli juu ya hili?? Naimba kufahamishwa.@Chief-Mkwawa
 
Nauliza.... Baada ya huawei kuwekewa vikwazo na marekani.... Kuna tetesi kuwa anayefuata kuminywa ni Xiaomi.... Je kuna ukweli juu ya hili?? Naimba kufahamishwa.@Chief-Mkwawa
wali m blacklist, ila sio serious sana. xiaomi hana madhara kwa us kama huawei.
 
Note 10 isout na nime place order today kulikua na promocode na coupon kibaofor only 361elfu ,Mkwawa unaizungumziaje hii simu kwa spec zake nan kutoka kampuni ingine ataikarisha, pia ip 53 unaizungumziaje kwenye swala la vumbi kwa hio simu kaka
 
Attachments

  • Screenshot_2021-03-09-16-21-24-150_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
    Screenshot_2021-03-09-16-21-24-150_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
    110.2 KB · Views: 4
No more miui dialer , sms kwenye global version za xiaomi kwa sasa .
Nimepokea redmi 9t ni mwendo wa google dialer na sms app yani ile ladha ya xiaomi imepotea kabisa dialer ni kama techno tu, nasikia na oppo nao wanaelekea huko as ni kama marekani anawabana wachina .
 
Chinese version ila weka textra plz utainjoy kwenye dialler ya gugo now ina feature ya kurecod ambay ni inbuilt in
 
Huawei alikuwa na madhara gani haswa?
Kwa madai ya USA ni threat kwa usalama wa Taifa lao, vifaa vyao vinaweza kuspy nchi nyengine.

Kiuhalisia wote wawili wanaspy watu USA na China ila tu ndio ule usemi Fahali wawili Hawakai zizi moja, USA a nataka kuspy yeye mwenyewe tu.
 
redmi 9 ni helio G80, Realbest ndio simu aliouliza huko juu, hio redmi note 9 4g nilitoa tu suggestion.

pia redmi note 9t si equivalent ya poco m3, labda kama umechanganya redmi 9t.

redmi note 9T inatumia mediatek dimensity 800U

hii comparison baina ya poco m3, redmi 9t na redmi note 9 4g, ni simu moja majina tofauti na region tofauti
Maswali nikwafaida ya wengi kumbe
giphy.gif
 
Back
Top Bottom