Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hatimae Jana nikakamata mashine yangu bila longo longo,
Shukrani zangu ziende kwa muanzisha uzi pamoja na maoni ya wadau wote.View attachment 1315241

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wabaguzi. Mimi mbona nilichukua posta pale wakanicharge kodi 21,000 au labda kwa kuwa sikuwa na sanduku la posta?
SAVE_20200122_185447.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona Redmi 8 kwa Tsh. 400,000/= kwa hawa wahindi wa High life mnanishaurije kuipata hii simu ni nzuri au nikanunue zangu infinix s5

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu redmi 8 kwa 400000!!!!! Hata mm sishawishiki labda kama huna kazi na hiyo pesa maana kwa huyo pesa unapata Xiaomi kali sana.
Huyo Redmi 8 Online ipo around 250 hadi 280.
 
Back
Top Bottom