Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Dah wadau kama alivosema msau mmoja hapo juu hawa voda mastercard wanaiba pesa. Jamaa aliposema ndio nikaemda kuthibitisha.

Juzi ni unload tsh 5000 kutoka vodacom mastercard kuja m-pesa. Nilipo maliza sikupata msg yeyote kuwa imetoka ama MPesa imepokea, nikaona isiwe tabu nikaachana nayo kwakujua mitandao wenda inazingua.

Saizi niliposoma kwa jamaa hapa naemda kuangalia salio, ile 5000 ilitoka na MPesa haikuingia na salio ni pungufu. Naangalia mini-statement inasoma nilitoa elfu 5 kwenda Mpesa. Transaction zangu za Mpesa hazina hio kumbukumbu na wala Pesa haikuingia.

Tushavamiwa na na Janga huku Mpesa mastercard. Naona tutafute chimbo jipya

Dumelang
Kamanda SPYMATE ndiyo aliripoti hii Issue kwa Mara ya kwanza.
Hata Mimi huo upepo ulinipitia nikasema siibiwi kifala hivi!!
Niliwaibukia Voda shop pale China plaza nikawaona wanaruka ruka tu hawajui walifanyalo.
Ikabidi niende Mlimani City ndiyo wakasema kuwa system yao inashida So Ombi litafanyiwa kazi na pesa zitarudi baada ya 72hrs.
Ila ziliingia kwenye card baada ya 24 hrs.
Nilichogundua ni kwamba siyo Voda shop zote wana weledi na haya mambo pia ukipotezea pesa hazirudi zenyewe!!
Kuwasaidia wale wasio na mda wa kwenda Voda shop hiyo hapo link ya whatsap ya Voda watashughulikia ombi Kwa kupeleka idara husika.
WhatsApp Partager sur WhatsApp
 
Hii maanake nini? Sijaupata mzigo lkn traking info ipo hivi
Screenshot_20191215-173901.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii maanake nini? Sijaupata mzigo lkn traking info ipo hiviView attachment 1293408

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inamaanisha estimation time imefika ukingoni so Kama hujapata parcel yako ni juu yako kuendelea kusubiri wiki au mwezi mwingine au open dispute Kama mkwanja uliotoa ni wa maana.
Hiyo 4pX Singapore post OM pro tulishaiongelea huko nyuma ni Kama China post small packet plus unawatumia tu pale unapokuwa Huna presha au Huna uharaka wa kupokea mzigo hivi karibuni
 
Kamanda SPYMATE ndiyo aliripoti hii Issue kwa Mara ya kwanza.
Hata Mimi huo upepo ulinipitia nikasema siibiwi kifala hivi!!
Niliwaibukia Voda shop pale China plaza nikawaona wanaruka ruka tu hawajui walifanyalo.
Ikabidi niende Mlimani City ndiyo wakasema kuwa system yao inashida So Ombi litafanyiwa kazi na pesa zitarudi baada ya 72hrs.
Ila ziliingia kwenye card baada ya 24 hrs.
Nilichogundua ni kwamba siyo Voda shop zote wana weledi na haya mambo pia ukipotezea pesa hazirudi zenyewe!!
Kuwasaidia wale wasio na mda wa kwenda Voda shop hiyo hapo link ya whatsap ya Voda watashughulikia ombi Kwa kupeleka idara husika.
WhatsApp Partager sur WhatsApp
hata mimi nimepata tatizo kama hilo..majuzi nilitoa 16000/= toka mpesa mastercard kwenda Mpesa lakin zimepita siku tatu pesa haijaingia kwenye Mpesa

Nawapigia customer care naona wananipiga kalenda nyingi..kila siku wananiambia wanashughulikia ombi langu...Nachojiuliza mbona tukiwa tunahamisha hela kutoka Mpesa kwenda kwenye Mastercard inakua ni kitendo cha dakika chache tu hela inakua tayar ishaenda kwa Mastercard?/
 
Daah yan hawa jamaa ni kuwatumia kwa kuweka matumaini tu kwmb parcel itafika.
Hapo inamaanisha estimation time imefika ukingoni so Kama hujapata parcel yako ni juu yako kuendelea kusubiri wiki au mwezi mwingine au open dispute Kama mkwanja uliotoa ni wa maana.
Hiyo 4pX Singapore post OM pro tulishaiongelea huko nyuma ni Kama China post small packet plus unawatumia tu pale unapokuwa Huna presha au Huna uharaka wa kupokea mzigo hivi karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa posta wanafanya kazi kwa mazoea,leo jamaa moja kanipigia simu kaniambia kuna mzigo wako nimeletewa na watu wa posta na nimesaini document lln kuja kuangalia syo yangu japo wote tunaitwa James.Nimefuata mzigo tayari kanipa.Sasa hapa ndipo unakuta unadai mzigo kumbe ilishachukuliwa na mtu mwingine
Badala wampigie mtu simu afuate mwenyewe,wanamperekea kisa ni mteja,yani walivyoona tu first name

Duuuuuuh...

SangaweJr
 
Dah wadau kama alivosema msau mmoja hapo juu hawa voda mastercard wanaiba pesa. Jamaa aliposema ndio nikaemda kuthibitisha.

Juzi ni unload tsh 5000 kutoka vodacom mastercard kuja m-pesa. Nilipo maliza sikupata msg yeyote kuwa imetoka ama MPesa imepokea, nikaona isiwe tabu nikaachana nayo kwakujua mitandao wenda inazingua.

Saizi niliposoma kwa jamaa hapa naemda kuangalia salio, ile 5000 ilitoka na MPesa haikuingia na salio ni pungufu. Naangalia mini-statement inasoma nilitoa elfu 5 kwenda Mpesa. Transaction zangu za Mpesa hazina hio kumbukumbu na wala Pesa haikuingia.

Tushavamiwa na na Janga huku Mpesa mastercard. Naona tutafute chimbo jipya

Dumelang
Ukiwapigia voda wanasemaje!
 
Back
Top Bottom