Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ko Alitoa kodi shingapi kwa hii Simu???
Wanakata Kulingana na bei ya mzigo soma hiyo form hapo juu kuna makato tofautitofauti

Tena wahudumu wanakazia uwaoneshe Bei halisi toka AliExpress

Kuna mwamba nimekuta kapokea Redmi note 7, wakamkazia... akawaambia nina simu kitochi nashindwa kuwaonesha!!?

Wakamwambia tuambie Bei halisi... akataja laki 2,

wakamwambia tupe Bei halisi hiyo haiwezekani...! Mwisho Wakakubali walipotajiwa laki 3
 
ninayo ya nillkin rangi blue, bei elfu ishirini na tano
Msaada wakuu anayejua mahali naweza pata Covers za Note 7 kwa hapa Dar.
-10864068581555745947.jpeg
 
Huku mtaani kwangu hii simu yangu Redmi7 wanaiona Kama iPhone ya Android mkuu, waishikashika na kuigeuzageuza waitazamapo Yani ni kanakwamba hawajawahi kuiona....kumbe kweli walikuwa hawajawahi Iona
nipe link yake ya aliexpress pm nikainunue
 
Back
Top Bottom