Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hizi simu zinauzwa bei poa sana sijui kwa nini. Nataka niijaribu umidigi a5 pro inauzwa 214000 tu mpaka bongo
Mkuu hata mm nataka ninunue hiyo hiyo umidigi a5 pro, nimeona alliexpress ni 224000 mpaka kufika. Ila cjawahi kununua kitu mtandaoni. Nimeshajisajili alliexpress, nimejaza particulars zangu. Jinsi ya kuweka hela m pesa MasterCard nimeelewa. Ila cjaelewa namna ya kwenda kulipia bidhaa.

Nimefika pale kwenye pay now nikafika sehem inatakiwa kujaza card namba nkaanza kuogopa. Naomba kuelewa namna ya kulipia nisije poteza hela kizembezembe.
 
Weka card no. Ya mpesa Mastercard iliyopewa baada ya hapo weka cvv yaani security code za mpesa Mastercard ulizopewa,ni namba tatu .Baada ya confirmation hela itakatwa automatic utaona message kwenye simu yako
Mkuu hata mm nataka ninunue hiyo hiyo umidigi a5 pro, nimeona alliexpress ni 224000 mpaka kufika. Ila cjawahi kununua kitu mtandaoni. Nimeshajisajili alliexpress, nimejaza particulars zangu. Jinsi ya kuweka hela m pesa MasterCard nimeelewa. Ila cjaelewa namna ya kwenda kulipia bidhaa.

Nimefika pale kwenye pay now nikafika sehem inatakiwa kujaza card namba nkaanza kuogopa. Naomba kuelewa namna ya kulipia nisije poteza hela kizembezembe.
 
Hukuwa na invoice au kithibithisho chochote cha bei nao walitaka wajiridhishe afu huwa wanakaba makusudi wakijua kwamba huwezi kuiacha simu yako kali.
mimi nina kawaida ya kufungulia parcel pale kidirishani ili kuhakiki kama kila kitu kipo sawa sasa kuna siku niliitoa Redmi note 7 kwenye zile Buble si yule mama akaning'ang'ania niivue kwa box ili aione live maana kaipenda ile picha juu ya box nikamwambia kifaa cha watu hiki siwezi kuondoa seal bila ya ridhaa ya mwenyewe.
Kuuliza bei nikamwambia mia na 20 akaiponda kumbe ndogo kuliko spark 7 yake nikamwambia poa haina shida.
mida mida huwa tunajirengesha wenyewe kwa hawa watu so tuwe makini katika kujibu maswali yao.
Haa haaa ulimueza sana,hawakudai 2500 yao?
 
Jaza card no.ya mpesa Mastercard ulizopewa na cvv(security code) huwa ni namba tatu ulipewa na namba za mpesa Mastercard .Utabonyeza confirmation hela yako itakatwa automatic na utaletewa sms
Mkuu hata mm nataka ninunue hiyo hiyo umidigi a5 pro, nimeona alliexpress ni 224000 mpaka kufika. Ila cjawahi kununua kitu mtandaoni. Nimeshajisajili alliexpress, nimejaza particulars zangu. Jinsi ya kuweka hela m pesa MasterCard nimeelewa. Ila cjaelewa namna ya kwenda kulipia bidhaa.

Nimefika pale kwenye pay now nikafika sehem inatakiwa kujaza card namba nkaanza kuogopa. Naomba kuelewa namna ya kulipia nisije poteza hela kizembezembe.
 
Jaza card no.ya mpesa Mastercard ulizopewa na cvv(security code) huwa ni namba tatu ulipewa na namba za mpesa Mastercard .Utabonyeza confirmation hela yako itakatwa automatic na utaletewa sms
Shukrani mkuu, nimepita hatua zote Ila hela inagoma kwenda. Wanaleta hii sms [https://ae01]

Payment Failed

Your card's expiry date has either passed or was input incorrectly. Error Code: CSC_7200012
 
Mkuu hata mm nataka ninunue hiyo hiyo umidigi a5 pro, nimeona alliexpress ni 224000 mpaka kufika. Ila cjawahi kununua kitu mtandaoni. Nimeshajisajili alliexpress, nimejaza particulars zangu. Jinsi ya kuweka hela m pesa MasterCard nimeelewa. Ila cjaelewa namna ya kwenda kulipia bidhaa.

Nimefika pale kwenye pay now nikafika sehem inatakiwa kujaza card namba nkaanza kuogopa. Naomba kuelewa namna ya kulipia nisije poteza hela kizembezembe.
Jaza namba za mpesa mastercard yako, watakata amount kulingana bei ya bidhaa
 
Washakata hela yao, na imekuja sms ya kufanya malipo alliexpress. Nini kinachofuata? Mimi ni mara yangu ya Kwanza kuagiza Kwa mtandao naomba msaada
Ingia kwenye profile yako ya AliExpress> account>to be shipped , hapo utakuta mzigo uliolipia unaosubiri kusafirishwa na seller

Baade seller Akishaship mzigo utaingia kwenye shipped utaona mzigo ulioship na tracking number(track number inaanza kusoma baada ya siku mbili)

Kuona Mizigo yote uliyoorder ingia Orders

Natumai umenipata kidogo mi mwenyewe sio mzoefu wajuzi watajazia hapo
 
Washakata hela yao, na imekuja sms ya kufanya malipo alliexpress. Nini kinachofuata? Mimi ni mara yangu ya Kwanza kuagiza Kwa mtandao naomba msaada
Ndio maana ili pendendekezwa kuagiza vitu vya thamani ndogo unapoingia kwenye hili game kwa mara ya kwanza then ukishapata uzoefu ndio unaagiza vitu vya thamani kubwa huko mbele.
Fuata mwongozo wa BANGO JEUPE
Ya ziada tuambie:
1.Una sanduku la posta au umejaza physical address?
2.Courier (Shipping method) gani umechagua?
 
1. Nimejaza sanduku la posts
2. Cjachagua courier Ila niliona wameandika alliexpress standard shipping.

Mkuu unanitisha
 
Back
Top Bottom