Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sjafuatilia xiaomi sana...mkuu ila hata mi A3 nzuri tu..tena unaenjoy Android one
Ni toleo gani latest la xiaomi ambalo sio copy & cut, nilitaka agiza mi A3 but ina sura ya ki-samsung na iphone, so ni ipi wamejitahidi ku-design body ya kipekee!?
 
Haya mzgo huo wa simu nimetoka kuchukua Hakuna kodi wala nini..View attachment 1206189
Sie tu nalipia 2500 siyo mbaya kutegemea na mzigo.
Zamani tulikuwa tunawatoa siku moja moja washkaji pale posta mzigo ukiingia tu wanakutonya kishkaji.
Sa hivi wakijisikia wanakupigia au wanakausha.
Afu Kuna kitu nimegundua baadhi ya mizigo huwa inabadilishiwa tracking no so ukit rack Hola hadi uende chukua ndo utagundua hilo.
 
TRA wamepewa mamlaka ya kufungua parcel but wamepotezea ila sasa kwa hizi comments naona mnataka kuwaamsha jamaa waanze kufungua moja moja na kucalculate upya.
Tumekimbia kule DHL mnataka kuharibu na huku pia?
Huo ni UOGA wako mkuu,kufungua ni Duty yao ,waache wafungue wajirizishe ,Ukidakwa ni juu yako
Ulitaka nisimjibu mdau kisa kuogoga TRA wataona Comments?
Acha UOGA
 
Mizigo yote yenye tracking inayoanza na "R" (registered mail) huwa haulipii ila kama tracking no. Sio "R" wanakuchaji hiyo 2350.
Sio kweli, maana mzigo mmoja ulikuwa na RG799061713SG na nimelipia. Hii ni tozo mpya tu wanaijua posta wenyewe.
 
Sie tu nalipia 2500 siyo mbaya kutegemea na mzigo.
Zamani tulikuwa tunawatoa siku moja moja washkaji pale posta mzigo ukiingia tu wanakutonya kishkaji.
Sa hivi wakijisikia wanakupigia au wanakausha.
Afu Kuna kitu nimegundua baadhi ya mizigo huwa inabadilishiwa tracking no so ukit rack Hola hadi uende chukua ndo utagundua hilo.
Juzi jamaa wa posta kanipigia simu, maswali mengi kweli, in short ni kama amechoka kunitaarifu kuwa mzigo imefika anataka niwe naenda posta mara kwa mara kuangalia kama mizigo imefika.
 
Hivi hizi Xiaomi ambazo ni China version ni nzuri kweli?! Mfano ukiitumia nje ya China (mfano;Bongo) matatizo yake ni yapi?!
Naombeni maelekezo Tafadhali!

Mr. Mobile
Chief-Mkwawa
•Bands za mtandao baadhi ya simu inaweza ikawa haipo
•apps nying za kichina inakuja nazo ambazo kwako zinakua hazina umuhimu
•zinakuja na lugha mbili tu...english na kiichina
•playstore inakua hamna hivo hadi udownload

mengne wataongezea
 
Nimetumia redmi note 7 kwa kama mwezi mmoja tu iko poa sana ila haya maumbo ya hizi simu za kisasa sijayapenda kabisa, wiki iliyopita kunamatatizo yalinitokea RN7 yangu ikatoweka, hivyo kwasasa nataka kununua nyingine, Mi a2 vipi si iko poa nayo maana Mi a3 nayo naona wamebadili umbo
 
Haupendi hizi simu zenye screen to body ratio kubwa au kale kanotch ndio kana kuboa!

By the way advantage ya hizi simu mpya huwa zinakuwa na improvement hasa kwenye camera. Kwa upande wa performance hiyo miA2 itakuwa sawa na RN7 maana zinatumia chipset moja.
 
kale ka notch ndo si kapendi
 
kale ka notch ndo si kapendi
Kwa simu nyingi za mwaka huu kanotch sio rahisi kukaepuka. Kama una mkwanja chukua mi 9T or realme X front camera yake inachomoza kwa juu.

Hata mimi notch kabla sijapata simu yenye notch ilikuwa inaniboa sana ila baada ya kukaa nayo nishaizoea na wala hainipi shida na simu langu lina bonge la notch sio kama ile ya RN7.
 
Back
Top Bottom