Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hiyo mi band ni kwa matumizi gani hasa kwa mazingira yetu
Description:
No need of holding your mobile phone for steps counting when you are running and walking. Just take this Xiaomi bracelet. This smart wristband can track your movement, monitor body conditions, and show all data on the LCD screen.

Main Features:
Display sports data
● Display the time, date, walking steps, distance, and calories clearly. Let you know your sports data immediately
Clear display
● 0.78-inch OLED high-resolution display
Heart rate monitor
● HRM heart rate monitor function will give you real-time feedback, let you know about your heart rate anytime and anywhere
Sedentary remind
● When you are sitting for a longer time than the preset duration, the watch would remind you with vibration or a ring that it's time for exercise
Alarm remind
● Setting the alarm clock on the phone, the watch will remind you with vibration
Calories consumption
● Master your exercise and calories consumption at any time and anywhere, monitoring your raining status at any time
Sleep monitor
● Are you curious about your sleep quality? sleep monitor function will give you the answer
-21061566381076968361.jpeg
IMG_201905140_084235.jpeg
 
Hivi wakuu huwa mnalipia tozo pale posta?
Maana wamama walikuwa wananikaba 2000k kila parcel hata kama ni meagiza sindano ya nusu Dollar.
Sasa wamepandisha Hadi 2500@ parcel haijalishi ni registered mail au yoyote wao wanakaba Tu eti ni agizo toka juu.
Je hili ni kwa posta zote au ndio nageuzwa fursa kiaina?
Mpombote , Mwl.RCT Mr. Mobile uyui kwetu ...
 
Duuuuh! Hizo tozo mie sotozwagi kabisa! Labda kama mzigo ni unregistered mail. Pia naomba nikuulize hiyo ofisi unapochukulia mizigo ni pale GPO?

Hapana ni Chang'ombe Temeke
Mizigo yote ya iwe ya AliExpress standard shipping( singapost) hata China post registered mail yote wanatoza na unapewa receipt
 
Hivi wakuu huwa mnalipia tozo pale posta?
Maana wamama walikuwa wananikaba 2000k kila parcel hata kama ni meagiza sindano ya nusu Dollar.
Sasa wamepandisha Hadi 2500@ parcel haijalishi ni registered mail au yoyote wao wanakaba Tu eti ni agizo toka juu.
Je hili ni kwa posta zote au ndio nageuzwa fursa kiaina?
Mpombote , Mwl.RCT Mr. Mobile uyui kwetu ...
We unachukuaga posta ipi? vitu vidogo silipiagi hata 100 pale POSTA.
 
Hello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Mzigo wa redmi 7 sio wa kawaida kitu inatunza chaji mpaka nachanganyikiwa Niko online kwa masaa kumi nw mzigo bado haujakata chaji nakupenda Xiaomi forever.Je tufanyaje nasi ili kuweza kuwashawishi wachina watufungulie soko hapa hapa bongo ili tuweze pata bidhaa zote hapa pasipo kuagiza nje
 
Utanunua mara mbili ya bei ya ONLINE,Bora kuzisotea mwezi aseee
Trust Me
 
Mzigo wa redmi 7 sio wa kawaida kitu inatunza chaji mpaka nachanganyikiwa Niko online kwa masaa kumi nw mzigo bado haujakata chaji nakupenda Xiaomi forever.Je tufanyaje nasi ili kuweza kuwashawishi wachina watufungulie soko hapa hapa bongo ili tuweze pata bidhaa zote hapa pasipo kuagiza nje
Mpaka inakufikia imekugharimu kiasi?
 
Back
Top Bottom