Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  • Thread starter Kilangi masanja
  • Start date

Kilangi masanja

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
1,342
Points
2,000
Kilangi masanja

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
1,342 2,000
Hello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
 
J

j wara

Senior Member
Joined
Aug 18, 2016
Messages
118
Points
250
J

j wara

Senior Member
Joined Aug 18, 2016
118 250
Mi 9 SE ni kama lite version ya Mi 9 yenyewe.
Mi 9 yenyewe ina snapdragon 855 kama Oneplus 7 pro. Ina amoled screen pia .
One plus aliomzidi Mi 9 ni kwenye battery tu Oneplus battery 4000mAh while Xiaomi Mi 9 ni 3300 mAh. Labda na Camera ambazo zinaweza pambanishwa One on One.
Stilll huoni pricing kwa Oneplus imelala kwa Brand ?
Kumbuka hawa wote ni wachina ila Oneplus alitokea kupata kukubalika zaidi kwa Wazungu kuliko Xiaomi kipindi fulani . So i guess ni branding tu ndio inafanya price iwe hivyo.
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
2,573
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
2,573 2,000
Mkuu hiyo OnePlus imeizidi nini Mi 9 se mbona specs zinakaribiana ila Bei ya OnePlus ipo juu sana?
View attachment 1098140
Hiyo Mi9 se kwanza ni lowest variant kweny Mi 9 series..kwahy mtoe kabsa. Xiaomi atabak unbeatable kweny hizo mid range phones tuu. Tuache kufananisha Xiaomi na simu za maana bhana
 
J

j wara

Senior Member
Joined
Aug 18, 2016
Messages
118
Points
250
J

j wara

Senior Member
Joined Aug 18, 2016
118 250
Hiyo Mi9 se kwanza ni lowest variant kweny Mi 9 series..kwahy mtoe kabsa. Xiaomi atabak unbeatable kweny hizo mid range phones tuu. Tuache kufananisha Xiaomi na simu za maana bhana
Sio lazima kucompare ila you can dare !... Kwakuwa parameter zipo ...You can compare anything of tech running the same operation hata kama zina performance rate tofauti.
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,047
Points
2,000
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,047 2,000
Hiyo Mi9 se kwanza ni lowest variant kweny Mi 9 series..kwahy mtoe kabsa. Xiaomi atabak unbeatable kweny hizo mid range phones tuu. Tuache kufananisha Xiaomi na simu za maana bhana
Una maana gani mkuu?
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,047
Points
2,000
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,047 2,000
Kwa wale wazee wa Picha Picha Gcam inatoa picha kali sana hasa za usiku ila tu mitit kuiweka kwenye RN6 PRO Japo watu RN7 inakubali bila ya process nyingi.
 
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,099
Points
2,000
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,099 2,000
Kwa wale wazee wa Picha Picha Gcam inatoa picha kali sana hasa za usiku ila tu mitit kuiweka kwenye RN6 PRO Japo watu RN7 inakubali bila ya process nyingi.
Ngoja tu tuamie Mi A2 yenye Stock Android. Hizi za ku download majanga tu!
 
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
2,366
Points
2,000
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2013
2,366 2,000
Kwa wazoefu simu tofauti hizi brand zilizozoeleka: Vipi kuhusu hizi brand kuhusu ubora au nazo ni jamii ya TECNO
1.VIVO
2.ZTE NUBIA
3.MEIZU
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
2,573
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
2,573 2,000
Sio lazima kucompare ila you can dare !... Kwakuwa parameter zipo ...You can compare anything of tech running the same operation hata kama zina performance rate tofauti.
Mkuu mimi sikuelewi kabsa. Kuna baadhi ya simu mim ntaendelea kuzingangania tuu hata niambiwe vpi. Simu ambayo staki kuishika ni Iphone tu basi
 
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,099
Points
2,000
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,099 2,000
Mkuu mimi sikuelewi kabsa. Kuna baadhi ya simu mim ntaendelea kuzingangania tuu hata niambiwe vpi. Simu ambayo staki kuishika ni Iphone tu basi
Ng'ang'ania tu kile ukipendacho! Hakuna shida wala! Sie ngoja tubaki na mchina wetu Xiaomi.
2019-05-16_01-39-25_1-jpeg.1098853
 
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined
Nov 16, 2008
Messages
1,492
Points
1,500
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined Nov 16, 2008
1,492 1,500
Kwa wazoefu simu tofauti hizi brand zilizozoeleka: Vipi kuhusu hizi brand kuhusu ubora au nazo ni jamii ya TECNO
1.VIVO
2.ZTE NUBIA
3.MEIZU
Hao wanaitwa wa china wazuri wazuri hawafanani na tecno
 
J

j wara

Senior Member
Joined
Aug 18, 2016
Messages
118
Points
250
J

j wara

Senior Member
Joined Aug 18, 2016
118 250
Kuna mnyama ajaye anaitwa redmi k20 ...nahisi flagships zitapata taaabu saaana....time to replace my Pocofone f1
 
Forum statistics

Threads 1,295,919
Members 498,479
Posts 31,228,043
Top