Wale wote tunaotumia Infinix S4 tujuane hapa

Natumia since 2013 na sijawahi jutia
Husika na mada tajwa hapo juu,wahusika tujua kwa ajili ya kuweza kupeana maujanja ya hapa na paleView attachment 1162574
1575870739437.jpeg
 
Wadau kuna mtu aliyewahi kutumia simu aina ya xioami naomba mrejesho nataka kufahamu ubora wake na changamoto zake.
 
hapa nilipo niko na infinix smart na inapiga mzigo tangu asubuhi na haijapata moto... Na lazima utambue simu kupata moto kuna mahusiano makubwa na charging system na battery
Ndugu Mshana sijawahi amini kama zipo za kichina OG naona zote ni feki tu. Smu inapata moto hadi natamani nivae gloves zile nene za kutolea vyombo kwenye oven
 
Back
Top Bottom