Wale wote tunaotumia Infinix S4 tujuane hapa

beka the boy

Senior Member
Nov 6, 2018
167
96
Husika na mada tajwa hapo juu,wahusika tujua kwa ajili ya kuweza kupeana maujanja ya hapa na pale
Screenshot_20190724-180514.jpeg
 
Kuna mtu kanunua jana i simu kakuta simu ina ram 1.4 kafwctory reset bado vile vile.kumaanisha apps zimekula Ram spce yote izi simu za ukoo mmoja na tecno bhana
3gb ram., 32gb internal mem,, 4g, 9android, na mengine mengi tu, inauzwa 310000 kwa bei ya jumla, ukiingia china plaza unauziwa 600000.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom