beka the boy
Senior Member
- Nov 6, 2018
- 167
- 96
Husika na mada tajwa hapo juu,wahusika tujua kwa ajili ya kuweza kupeana maujanja ya hapa na pale
Sasa mkuu maujanja ya infinix ndio hayo ya game au? Anyway wenzio naona wamekususia Uzi
..
Sasa kijaaana..
Anyway,mtajuana tu
🤣🤣🤣..
Sasa kijaaana..
Anyway,mtajuana tu
😂Upo form ngap ?
Upo form ngap ?
Wew darasa la ngapi?
Jibu swali langu kwanza
Oooh sawa mkuuSioni sababu ya kujibu swali lako
Husika na mada tajwa hapo juu,wahusika tujua kwa ajili ya kuweza kupeana maujanja ya hapa na paleView attachment 1162574
duh, bora shule zifunguliwe tu
3gb ram., 32gb internal mem,, 4g, 9android, na mengine mengi tu, inauzwa 310000 kwa bei ya jumla, ukiingia china plaza unauziwa 600000.
Husika na mada tajwa hapo juu,wahusika tujua kwa ajili ya kuweza kupeana maujanja ya hapa na paleView attachment 1162574
Wewe muongo haiwezi kuwa interval kama hiyo kwa bei ya Jumla.3gb ram., 32gb internal mem,, 4g, 9android, na mengine mengi tu, inauzwa 310000 kwa bei ya jumla, ukiingia china plaza unauziwa 600000.
Kiongoz hill ni game lip FIFA pro au
3gb ram., 32gb internal mem,, 4g, 9android, na mengine mengi tu, inauzwa 310000 kwa bei ya jumla, ukiingia china plaza unauziwa 600000.