Wale wote tuliosoma kilimo kutoka SUA na colleges mbalimbali tukutane hapa tupeane Connection za kazi/ajira

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,393
5,518
Kama ni muhitimu wa mafunzo ya kilimo kuanzia Diploma mpaka Degree basi njoo hapa tupeane updates za ajira/kazi hata temporary term iwe serikalini, Taasisi za kiserikali, kampuni binafsi, Mashamba mbalimbali makubwa n.k

KARIBUNI SANA VIJANA.
 
Connection zioo shambani mkuu.
Anza na eneo dogo kadri ya uwezo wako.
 
Mliosoma kilimo na nyie mnatafuta connection wakati Tanzania ina ardhi kubwa ya kulima !!

Nenda Mbeya au Rukwa ukalime boss,connection zitakufata ukiwa shambani hicho ndio alichofanya jamaa yangu mhitimu wa kada ya kilimo ss hivi ana pigi deal za kilimo pia ofa kibao za kazi anachagua tu.
Mbegu zenyewe zipo mjini, soko liko mjini dah!!
 
Mkuu njoo pm kuna connection ya kazi nimeiona mahali huenda ikakufaa
Kama ni muhitimu wa mafunzo ya kilimo kuanzia Diploma mpaka Degree basi njoo hapa tupeane updates za ajira/kazi hata temporary term iwe serikalini, Taasisi za kiserikali, kampuni binafsi, Mashamba mbalimbali makubwa n.k

KARIBUNI SANA VIJANA.
 
Nilidhani mnakutana kubuni wazo mbadala, vijana wamegoma kbs kukubaliana na ukweli kwamba nchi hii ajira zimekuwa chache mno.
 
Nafasi ya kazi kwa mwalimu wa kilimo
Uwe vizuri darasani na field
Degree kutoka SUA
kipaumbele aliokulia Maisha ya kilimo karibu PM
Angalizo: Mimi nakupa tu connection ya kazi shuleni ila mimi sio mwalimu wala sio mwajiri ila wife wangu ni Manager wa hiyo Shule
 
Back
Top Bottom