Wale wote tuliosoma kilimo kutoka SUA na colleges mbalimbali tukutane hapa tupeane Connection za kazi/ajira

Mliosoma kilimo na nyie mnatafuta connection wakati Tanzania ina ardhi kubwa ya kulima !!

Nenda Mbeya au Rukwa ukalime boss,connection zitakufata ukiwa shambani hicho ndio alichofanya jamaa yangu mhitimu wa kada ya kilimo ss hivi ana piga deal za kilimo pia ofa kibao za kazi anachagua tu.
kilimo kinataka mtaji na icho ndio kinachowasumbua wahitimu wengi, hakuna muhitimu wa kilimo asiye na wazo la kuwekeza kwenye kilimo, na ndio maana wanatafuta ajira yoyote lengo kupata mtaji, msomi anawaza kilimo cha kisasa, na kilimo cha kisasa chenye tija kinataka mtaji mkubwa kuliko unavyofikiri.
 
Mkuu. Popote pale mtaji ndio solution ya matatzo
But ukija na technique issue ya kuipata hapo ndipo tuna sema Elimu yako imekusaidia kujikimu,
Ila unasoma then unasema nimekosa mtaji basi Elimu yako
Haijakusaidia chochte
Lengo kubwa ya kusoma ni kubambana na mattizo ,
Na mtaji ni moja ya tatzo
So inaonekana bado aujaiva kielim bali huna certificate
 
mnaotoka familia za walala heri mnakuaga na kejeli sana Kwa walala hoi.
Mtaji unapewa na baba unajifanya elimu ya darasani ndio imekupa mtaji.
 
Back
Top Bottom