Wale wote tuliopo viunga vya jiji la Dodoma tu

Epafras

Member
May 15, 2015
78
27
Habari ndugu,naomba kwa wale wote tuliopo Jiji la Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na computer na hata kama mtu ana elimu kuhusiana na computer,naomba tutafutane kuna ishu ninayo hapa.

Nitafute kwa text tu 0716 753534.
 
ingefaa ungeweka kabisa na malengo ya kuandika uzi huu kwa namna iyo huwez pata mtu
Kwa maoni yako ahsante ila watu ambao wanahitaji ntawapata tu na kuelezana sio kila kitu tuongee humu wakat hata dom haupo
 
Back
Top Bottom