Jinsi ulivyomjibu jamaa, inaonyesha akili zako ni za wahengaMwenye haki ya kudai au kuomba picha yangu ni mke wangu tu ndugu.
Bahati yako nzuri ni kwamba sina mke kwa sasa, nikurushie?
Nimemjibu jamaa yupi?Jinsi ulivyomjibu jamaa, inaonyesha akili zako ni za wahenga
ingekuwa kweli usinge post huu ujingaView attachment 544445 View attachment 544446 View attachment 544448 View attachment 544449 Wale wenye videvu vimepasuka katikati kama hivi inasemekana tuna akili sana na pia wanawake wanakua warembo sana Je unakubaliana na watafiti?