The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,456
- 17,214
Haihusu!View attachment 544445 View attachment 544446 View attachment 544448 View attachment 544449 Wale wenye videvu vimepasuka katikati kama hivi inasemekana tuna akili sana na pia wanawake wanakua warembo sana Je unakubaliana na watafiti?
Mwenye haki ya kudai au kuomba picha yangu ni mke wangu tu ndugu.Tupia picha yako kwanza
yuko mtoto wa jirani yangu ana kidevu cha aina hii lakini anapenda kuchezea kinyesi chake baada ya kumaliza kujisaidia, hizo ndo akili nyingi?View attachment 544445 View attachment 544446 View attachment 544448 View attachment 544449 Wale wenye videvu vimepasuka katikati kama hivi inasemekana tuna akili sana na pia wanawake wanakua warembo sana Je unakubaliana na watafiti?
Unataka kusemaje hapa mkuu? Kwamba sisi wa kule Zenji inakuwaje? hatuna akili?Watu wenye akili nyingi kwa kuwaangalia ni wale wenye chogo au machogo marefu, ni balaaa!
Kwahiyo mkuu wewe unajiona una akili...?View attachment 544445 View attachment 544446 View attachment 544448 View attachment 544449 Wale wenye videvu vimepasuka katikati kama hivi inasemekana tuna akili sana na pia wanawake wanakua warembo sana Je unakubaliana na watafiti?