Wale wenzangu wa kujificha siku kama hizi kukwepa vizinga

big IQ

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
491
890
leo ni siku ya kutulia tuu geto kucheki movies and documentaries huku simu umeipiga pini tutaonana tarehe 27 usawa wenyewe wa anko magu huu
 
Na namba za kuingiza na kutoa hizo pini kwenye simu ni

*33*0000#

#33*0000#

Kisha bonyeza ok
 
Mkuu nacheki zangu series baada ya kutoka church, kuna maisha baada ya sherehe kubana matumiz ni jambo ya msingi kwangu
 
huo ndo mpango mkuu
 
Hahahhaa hahahhaa....ngoja Sasa wadada poa wenu wabebwe mje mlie lie hapa....
 
Hahaha kama umeniona mm vilee sitakag ujingaa sahv ni mda wa kubana matumiz
 
Haa haaa kumbe tupo wengi eeeeh tumetulia tu magheto kuchek movie
 
Naona kama nimeigwa vile haka kamchezo kangu miaka mingi... Mizinga inaondoa radha ya kumfurahia Yesu.
 
Mkuu nacheki zangu series baada ya kutoka church, kuna maisha baada ya sherehe kubana matumiz ni jambo ya msingi kwangu
wenzangu kumbe pesa mnazo mimi hata hizo za kubana matumizi sina, bundle yangu ya jero nimetulia zangu home nimespend sikukuu yangu JF tu very comfotable
 
Back
Top Bottom