Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

"We don't stay up late wondering where your sorry ass is. We stay up late working on our side hustles, building empires on our own"

I rest my case madame, have a nice day!
Would you rather we sulked and cried at that? Yaani mapenzi ni mumeo akukute umevimba macho unamlilia sababu amechelewa kurudi nyumbani?

You are right to rest your case early.
 
Kwa wanawake wote ambao mmeolewa.....

Mko kwenye ndoa zenu.......

Na mashati yenu ya vitenge sare sare na waume zenu.............

Salamu kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nyie mlio kwenye ndoa zenu....lakini bado mpo ingle....

Yaani single but married (wenye viinglish vyenu pia mnywe maji mengi tu mtulie)

Mkisaidiana na wale ambao wapo lonely but married

Mjipige kifua mara tatu...... mfanye maamuzi na mapinduzi ya mwaka 2022.

Wale ambao hamna wa kuzungumza nae wala kucheka nae....ingawa mliosaini nao vyeti mnalala nao kitanda kimoja ..... jipepeeni tu

Wale ambao ndio mastriker.....mnalisha familia nyinyi.....mnalea watoto nyinyi...ila mnakumbatia mito wakati wapenzi wenu wakiwa busy kuchat na wapenzi wao (hahahahahahahahah) vuteni shuka mbu wasiwangate, wale ambao waume zenu 99% ya kipato chao wanahudumia wapenzi wao huko mitaani kunyeweni maji mengi kushusha uchungu........ na wale ambao wapenzi wenu hawarudi kabisa (au wamesafiri na wapenzi wao holiday) huo muda wa kulala usiku bora mkalinde sungusungu

Yaani kiufupi...........

Hebu mjitafakari kwa nini mko na hao wenza wenu.........................

Mchukue hatua ili muachane na upweke

Single wote mlio kwenye ndoa zenu............habari zenu tena.

Na nyie Married but Available(MBA) tutaonana mwakani, labda kutakuwa na ujumbe wa pasaka kwenu!!!!

Heri ya mwaka mpya kwenu wote!!!

Nb
kuna wanaume mbingu mtaisikia tu!!!
Aiseee Sina neno ngoja nicheke tu nauona ukweli mchungu hapa uweza kusema uyu member anajua mkasa wangu nini mpaka kuja kuandika Uzi wenye kufanana na yanayokukuta ila yote mema ata magumu yana Sababu na akuna marefu yasio kuwa na ncha
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom