Wale wenye Android 3.1 nakuendelea ifanye iwe fast zaid kama ulivyo nunua

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Baada ya kuitumia android yangu, kwa muda sasa, nikaona imekuwa slow, sasa kuna app nimeipata huku juu baada ya ku install sasa naona speed yake imerudi kama kawaida!
.
Requirements
.
Android 3.1>> nakuendelea.
.
Ili kuiwezesha application hii, unatakiwa kuwa ume i ROOT simu yako...
.
.
SaSa download software hii hapa "Greenify"
.
.

.
after download steps:
.
1-install it
2-press the symbol +
3-hybernate all applications
that works in background
that u are not using for now
.

.
jaribu sasa utaona simu yako inakuwa faster sana
.

.
Tatizo utakalolipata wakat una ROOT simu yako> hyo ni juu yako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom