Wale wazee wa FOREX , wangap tunalikumbuka hili jengo

Ha ha haaa..kwamba zilipigwa 500mil za fasta fasta na kijana wa miaka 24, Ontario master plan
Mm nilienda hadi eneo la tukio kwa siku ya kwanza nikaona kuna wazee wanacheka, nikasema kile kicheko cha wazee siyo cha kawaida niligeuza hadi hom nikaenda kulala zangu
 
kama ingekuwa kuna maisha mazuri Forex hakika Leo matajiri wangekuwa watu wanaofanya hiyo biashara Lakini ajabu wengi waliojaribu kufanya hiyo biashara wapo mahakamani kwa kesi za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu pamoja na kesi za madai makubwa.Yaani MTU anabisha tu kwasababu uanataka kutapeli wenzako.Narudia tena hakuna pesa ya bure namna hiyo thubutu kuweka pesa yako ulie na kuchanganyikiwa

A word of caution is in order here: Forex markets are extremely risky markets due to the permitted use by traders of high leverage (i.e., the ability to trade using much more than your deposited money, e.g., 500 times your deposited money). Success isn’t guaranteed! It’s better to risk your own money. If you take other people’s money for forex trading, you have to warn them in no uncertain terms that forex trading is extremely risky and, as such, could potentially chew up ALL their hard-earned monies entrusted to you!

Usipotoa hili angalizo wewe lazima uwe tapeli na mahakama lazima ikuhusu.
 
Kijana hakutoa hlo angalizo....inaonekan kulikuwa na well planed dark mission behind the story
 
Kwa sasa hapa mjini forex ndio habari yao tena hii ni kamari iliyojaza wasomi wengi mno
 
Watanzania tukumbuke hakuna pesa ya bure kiasi hicho kama walivyokuwa wanasema wale Wasouth Africa pale Jangid Plaza .Eti mtu muhitimu wa chuo kikuu tena taaluma ya biashara na uchumi na mambo ya fedha bila kusahau unaishi sinza kwa wajanja halafu bado anafikiri kuna pesa ya bure yaani utengeneze pesa hata ukiwa chumbani kwako.Mjiulize tu tajiri gani katika huu ulimwengu unayemjua amewekeza huko unapowekeza wewe au unafikiri wewe ndiyo mbunifu sana.Kumbukeni tu hakuna pesa ya bure Fanya kazi.Ile Elfu sitini zenu nazikumbuka sana ambazo mlilizwa
FIKRA ZA KIMASIKINI SANA HIZI
 
Principal ni moja tu ukuona umeitwa kwenye fursa basi jua wewe ndo fursa yenyewe

Ila ukweli ni kwamba forex is there and it's real work but there is extremely high risk on investing there
 
Principal ni moja tu ukuona umeitwa kwenye fursa basi jua wewe ndo fursa yenyewe

Ila ukweli ni kwamba forex is there and it's real work but there is extremely high risk on investing there
Npo kwenye intensive research, one day ntaifanya hii mambo
 
Yaani inaniuma katika ujanja wangu wote wa kudownload pesa za beting siijui forest ni nini hadi sasa!.
 
Ha ha haaa..kwamba zilipigwa 500mil za fasta fasta na kijana wa miaka 24, Ontario master plan
Hahaha Kama Namuona nandy
Sema Ndo Biashara Unataka Kula Bila Kuliwa tuu Aaagh Ukila Kidogo na Wewe Uliwe (In Someone's Voice)
 
Back
Top Bottom