Wale wazee wa Conspiracy Theory Mkuje tujadili hii ya Hayati JPM

Mbona hujaangalia more obvious supposition ?

Kipindi hiki cha Changamoto zilizowaondoa wengi yeye ni nani ambaye hawezi kukumbwa na changamoto hizo ?
 
Kwanza vita dhidi ya Corona....hapa aligusa interests za makampuni ya Chanjo.........maana alionekana kama anazuia watu wasiuze chanjo bongo
Maana covid ni mradi wa watu fulani huko duniani

Pili misimamo yake ya kuhusu madini na rasilimali.....
Kwanza kabisa nitoe angalizo kwamba yote ninayoandika hapa sio facts ambazo unaweza kuziverify so tusome kama sehemu ya kupanua uelewa na sio kama taarifa RASMI.Conspiracy theorists ni watu ambao wanaangalia mtiririko wa matukio na kuyaunganisha kisha kutoa maelezo kwa kutumia ushahidi ambao una jithibitisha na kujipinga wenyewe ili kujustify theories zao.Baada ya kifo cha Rais wa Tanzania John Magufuli zimeibuka theories Tatu kubwa:

  1. Theory ya kwanza ni ya wanaosema kwamba He was eliminated kwa sababu aligusa interest za watu
  2. Theory ya Pili inasema He eliminated himself baada ya kuona wanataka kumeliminate
  3. Theory ya Tatu inasema kwamba he eliminated kwa sababu ali overstay the office
Zipo theory nyingine nyingi ambazo zinausisha makampuni mengi sana ya kibeberu na wanasiasa wakongwe wa hapa nchini.Pia zipo theory ambazo zinahusisha taasisa kubwa za kimataifa na za kidini.
Baadhi ya issues ambazi ni pressing ilikuwa ni pamoja na kuwafutia mining rights baadhi ya wamiliki wa makampuni makubwa ya madini?Kukataa chanjo za korona,barakoa na kutoa takwimu

Hata ukitazama uelekeo wa uongozi wa Mama Samia unaona kabisa kwamba ilikuwa ni ONE man SHOW yaani JPM alikuwa ni LONE wolf.Ukizingatia kwamba kifo chake kilitanguliwa na kifo cha katibu mkuu kiongozi ambaye ndiye mtu wake wa karibu kuliko wote kuna zidi kufanya hizitheories ziwe na uzito hasa kwa wale wenye fikra pana.

Kwa kuwa kwetu sisi JPM sasa ni kama LEGEND na tunaweza kutengeneza simulizi zake na kuziwekea vionjo ili tuweze kuelewa zaidi kuhusu zama zake basi ni wakaribishe wale ambao wamekutana na theories mbalimbali mitandaoni kuhusu UONGOZI na KIFO cha JPM waziweke hapa ili tuweze kujipatia taarifa zaidi.

Angalizo.Hizi taarifa sio facts mpaka zithibtishwe ila kwetu sisi watu baki ni namna ya kuendelea kumkumbuka JPM na Nyakati zake.
 
Facts yenye nguvu kwa 90% ni kwamba mzee alikufa kwa Corona.
How?
Waliosema mzee hayupo Tz, anaumwa sana, hataweza kuinuka milele na amefariki dunia, ndio hao hao waliotuambia mzee amepata Corona na kwa shida ya moyo aliyokuwa nayo hawezi kutoboa. Na waliyasema hayo kwa kujiamini 100% at least 9days before watawala wa Tz hawajaangaza rasmi kifo cha mzee.

Katika mazingira ambayo wasaidizi wake kadhaa wa karibu yake walipata Corona na wengine kufariki, huku mzee akigoma kufuata masharti, ni kipi kingezuia kwa mzee kupata Corona na kufariki?
 
Kifo cha huyu mh kimenifikirisha sana...

1.afya yake ilienda inadhoofika kadri mda unavyoenda..ukiangalia sura yake katika picha tangu december hadi feb siku ile amesimama kanisani st peter utaona mabadiliko makubwa..wenye jicho la tatu tulijiuliza kulikon mh anazid kudhoofika kila kukicha na waliomzinguka hawaoni hali hii?...siku ile anamuaga kijazi alipoingia pale kalimjee nikamwbia rafiki yangu mmoja kuwa pamoja na msiba huu mzee hayuko sawa iko shida kubwa inamsumbua..kwa nini wasaidiz wake waliacha hali hii huku wakijua kuwa huyu Mkuu wa nchi..kama walimshaur akatibiwe akakataa kwa nini hawakutumia utaratibu unaofaa kumfanya akatibiwe?..mana watu baki tulikiwa tunaona kabisa mzee hayuko sawa..lakini pia kingine yeye mwenyewe kwa nini hakujali afya yake wakat hali halisi ilikiwa inajionyesha?..aliweka nchi mbele kuliko afya yake..ona sasa kabla hajafika chato kuzikwa tayari kiti kilikuwa kimeshapata mtu wa kukali!!!...je walikiwa wanamuogopa kumwambia ukweli..hawakujua shida iliyokuwa mbele yake?...shida ya moyo kwa zaidi ya miaka kumi bila checkup!

2..Magufuli alikiwa anaongoza watu amabo yeye akiwaangaloa machoni anawaona kama ni watu watiifu sana wenye kutii kila asemacho..lakini ukweli ni kwamba waliokiwa karibu nae na wengi waliokuwa wakiimba mapambio ya kumsifu na kumuabudu wengi walikuwa wameshamuasi kifikra..wengi walikuwa upande wake kulinda maslah yao na hili linaonekana wazi hasa wiki mbili hiI baada ya kuzikwa...wengi hawakupenda sera zake na namna anavyoongoza nchi bila kujali kujali katiba
Mzee wangu mmoja alinipa lift kwenye gari yake akaniambia jambo ambalo nimelitafakari baada ya kifo chake..mzee alisema magufuli ni kiongozi anayejenga nchi na sio taifa..iko tofauti kubwa kato ya nchi na taifa akaemdelea kusema ..hii itampa kazi sana katika kujenga nchi hii na akumbuke kuwa nchi hii hakuikuta ikiwa jangwa kwamba yeye ndie anaanza kuijenga kana kwamba wenzake waliotangulia hawakufanya kitu..nikamuuliza kwa vipi baba..mzee akasema kwa sasa huwez kujua ila utajua baadae ila nachokwambia anachokijenga hakitamfikisha popote..mzee akaishia hapo
Lakini pia magufuli hakuwa anazijua beacon za nchi hii..wapo wanaojua beacon za nchi hii yawezekana wako ndan au nje ya nchi..aproach nyingi za magufuli hazikiwavutia wengi kwenye inner cycle...maneno mengi ya kunanga watanguliz wake ,lugha za kibabe na kibaguzi(mfano mkichagua wa chama kile sileti maji..sikuleta maana hapa mlichagua wa chama kile nk)..waliompandisha kufika hapo wengi aliwakanyaga na kuwatupa nje..lakin pia wasaidizi wake wa karibu walikuwa nakaz ya ziada...njoo kwenye hili la corona alitumia ligha za hovyo wakat mwingine na kukatisha tamaa..watu nyeti sana wamepukutika..huko jeshin na ndan ya Tiss wazee kibao wamekifa na corona lakin yeye kama mkuu wa nchi hakutaka kutoa kauli yenye uelekeo..jana samia kachukua point tatu muhim..ubabe ubabe wake haukuwa na tija..
Siku ile mwaka jana amekufa mkapa kuna kitu nilijiuliza sana...maana nadhan fomula iliyotumika ni kumpiga mchungaji na kondooo watanyike ili tuwapate kirahisi.sasa angalia trend tangu amekufa mkapa..lakini pia vifo vya hawa wasaidizi wake waliotangulia kufa kwa kufatana sana na mwisho akafa yeye..binafsi nimekataa kuwa ni corona iliwaondoa wale kwa haraka haraka au corona ilitumika kama cover...vile vifo vya wasaidizi,wake na jamaa zake vilimpa wakat mgumu sana..sijui kama kuna mwingine aliyekuwa karibu nae atakufa baada ya kufa yeye akitokea hapo ikulu...deep state wanajua namaanisha nini..ila sisi wengine tunaoishi kwenye hii dunia ya chai na sukar hatuwez kujua lolote..so huenda akawa fixed maana sasa unaweza kuona kwa haraka kabla ya 40 sera zake zikibadilishwa..watu wakionyesha wazi waz alivyokuwa hayuko fair katika kaz zake..full ubabe..kuna kauli ameitoa Mh.Rais wa sasa jana iliyoonyesha huko ndan wakat wa hayati akiwa kwenye kiti mambo hayakuwa shwari..huwez kuendesha nchi kwa misingi ya kidikteta wakat umeshika madaraka toka kwenye sanduku la kura..ingekuwa kashika madaraka kwa mtutu kidogo ingesaidia..he was not safe...
Mienendo yake ya uongoz haikuashiria mwisho mzuri na ndio maana hata humu jf kuna thread ziliwekwa mwaka 2017,2018,2019 zote kutabiri kiwa huyu mwamba asingetoboa miaka 10 ya uongoz..

3..mataifa ya nje ushirika wao sidhan kama upo sana japo wengi hawakupenda sera zake...na kama upo basi wamewatumia watu wake wa karibu walioasi kifikra ili kumpata ila binfsi naona uhusika mkubwa wa humu ndan na yeye mwenyewe kutokisoma alama za nyakati na kutokujali afya yake..huwez kuwa na maradhi ya moyo halafu unakuwa mtu wa dizaini ile halafu uaeme utaishi maisha marefu yenye fanaka...
Ninarudi pale pale kwa yule mzee wangu..huwez kujikita kujenga nchi badala ya kujenga taifa halafu ukawa salama..taifa hili lina misingi yake..
 
Umeongea kwa fact daaah

Mkuu endelea plss

angalia trend tangu amekufa mkapa..lakini pia vifo vya hawa wasaidizi wake waliotangulia kufa kwa kufatana sana na mwisho akafa yeye..binafsi nimekataa kuwa ni corona iliwaondoa wale kwa haraka haraka au corona ilitumika kama cover...vile vifo vya wasaidizi,wake na jamaa zake vilimpa wakat mgumu sana..sijui kama kuna mwingine aliyekuwa karibu nae atakufa baada ya kufa yeye akitokea hapo ikulu...deep state wanajua namaanisha nini..ila sisi wengine tunaoishi kwenye hii dunia ya chai na sukar hatuwez kujua lolote..so huenda akawa fixed maana sasa unaweza kuona kwa haraka kabla ya 40 sera zake zikibadilishwa..
Mchanganuo mzuri.
 
Marc Rich,CEO wa Glencore,jambazi sugu,aliyeachiliwa huru kwa msamaha wa rais(Bill Clinton), as his last act when he was leaving the White House.
Kama Magufili alikuwa anabishana na watu kama hawa,what else.
Barrick Gold( majambazi sugu) walioinuka kwa kupata Nevada Gold Mines,kwa bei ya kutupa.(Bei ya kutupa kwa msaada wa G.H.W.Bush aliyekuwa White House).
Rothschilds-- ndiyo Satan mwenyewe. Wale Rothschilds ndio wanaoiongoza Illuminati. In fact,Illuminati is their own invention.
Halafu wazee wa kazi,Mossad.
Lakini hao imperialists,they will always wany to kill someone who does not want them to be rich.
From our point of view,tutataka tu kujua colabo ya Watanzania katika kuuawa kwa rais.
Sasa hivi sijaona ushahidi ambao unamhusisha Mtanzania na kifo cha Magufuli
 
Back
Top Bottom