Ngai Moko
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,238
- 1,616
Kuna watu wamehamia kwenye bidhaa za Germany wanazisifia sana, mfano wale wazee wa magari wanazipigia debe VW, naomba maelezo juu ya hii simu janja Carbon 1 MK II.
Ni simu yenye yenye muundo wa kawaida na hata sifa zake ni za kawaida, mfano chipset yake ni MTK, ukubwa wa betri ni 3000 mAh.
Kilichonifanya kutaka kujua kiundani juu ya hii simu ni bei yake ambayo ni karibia EURO 800 na material yake ya carbon fiber monocoque.
Je. inauzwa hiyo bei kwa sababu ya design ya carbon fiber? Na hiyo carbon kwa nini haikutumika kabla kwenye utengenezwaji wa simu kutoka makampuni kama Samsung, Apple n.k.