Wale watia nia waliokatwa tukutane hapa

Wajumbe

Senior Member
Jul 26, 2020
136
379
Poleni watia nia. Unaweza ukawa ulitia nia chama cha upinzani au tawala. Wengi walikatwa kwa kupata kura kiduchu kwa kukosa pesa ya kuwahonga wajumbe.

Msikate tamaa, sheria bado inakupa Uhuru wa kuhamia chama kingine chochote. Zimebaki siku tano, hizi zinatosha kabisa kuchukua fomu ya NEC na kurudisha.

Nawasihi kesho mkachukue utambulisho kwenye vyama ambavyo michakato yao sio ya rushwa rushwa mkachukue fomu ya NEC.

HAKUNA KULALA WAPIGANAJI.

Aluta Continua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom