Wale wataalamu wa mambo ya uchimbaji wa madini,msaada wa mawazo tafadhari

Lukataluko

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,346
1,572
Nina city yangu,nimegundua kuna madini,naomba kuuliza procedures gani na
takiwa kufuata ili nianze kuchimba kama mchimbaji mdogo,

Naomba kujua napataje vibari,gharama za reseni na pia namna ya kupata hati ya umiliki wa aridhi.

Karibuni kwa michango yenu ya mawazo.
 
1.anza na TIN namba
2 kujua kodines zake hilo eneo
3 maombi ya leseni kupitia hizo kodines zako.
 
Naomba unifafanulie zaidi mkuu,hizo kodines ndo nini?
itakua typing error,atakuwa alimaanisha Cordinates(nyuzi mraba za eneo zinazopimwa kwa kifaa maalum kupitia satelaiti kwa kifaa kinachoitwa Global Positioning Satelite(GPS)
umegundua aina gani ya madini chief ya vito,viwanda ama ya ujenzi?
 
Itakuwa ni madini ya chakula cha mifugo
 
itakua typing error,atakuwa alimaanisha Cordinates(nyuzi mraba za eneo zinazopimwa kwa kifaa maalum kupitia satelaiti kwa kifaa kinachoitwa Global Positioning Satelite(GPS)
umegundua aina gani ya madini chief ya vito,viwanda ama ya ujenzi?
Niya Vito mkuu, wanayaita green tomalin,ni mawe furani ya rangi ya kijani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom