Wale wasio na ajira/kazi hadi leo.

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
18,878
48,950
Wahusika wa kichwa cha habari hapo juu.

Salam kwenu.

Naomba tujadiri ni kipi kimetukwamisha kupata ajira hadi leo? Tunaanza mwaka mpya sasa, ebu tujifunze kupitia makosa tuliofanya mwaka 2013. Mimi kwa upande wangu, baadhi ya mambo ninayodhania/amini yaliyosababisha nikashindwa kuitwa interview/kukosa ajira etc ni haya:

1. Kushindwa kuandaa CV na cover letter ya kumshawishi "boss" pindi anaposoma.

2. Nafasi zilizotangazwa za career yangu ni chache sana, hivyo competition ikawa kubwa.

3. Kukosa baadhi ya "email address hai" za makampuni pindi tunapoamua kutuma maombi ata kama nafasi hazijatangazwa. Nyingi tunazozipata za mitandaoni zilishaachwa kutumika.

4. Kukosa fedha za kutuma barua nyingi kwa posta au kupeleka "By hand" hivyo kuamua kutumia njia cheap ya email ambayo kusema kweli sio bora sana maana ni email chache zinamfikia mlengwa.

5. Kukosa work experience kabisa, hivyo makampuni (nadhani) yanatuona kama tutakua mizigo.

6. Kutokua na connection kabisa.

7. .......

Unaweza kuendelea.

Nimejitahidi kufupisha.

NB: Hayo mambo nayafanyia kazi na nayarekebisha yoote yale yaliochini ya uwezo wangu, ili mwaka 2014 uwe wa MAFANIKIO.
 
mimi ni miezi miwili 2 tangu njmalize chuo nimeitwa mara mbili 2 kwenye interview ila sikwenda mimi naona ujanja kujiajiri 2 tafuta wenzzako muandaee project munaweza kufanikiwa mimi mwenyewe nikiangalia vyeti vyangu mpaka naona uchungu ila 2014 kwa uweza wa MUNGUlazima nifungue kampuni kitu kinacho tuangusha hatuna ushirikiano
 
Kama hutaki watu waajiriwe hiyo kampuni yako utapata wafanyakazi wapi?
 
halafu kuna watu hawako serious kuna siku tulikuwa tumetoa nafasi za kazi zikaja CV unakaa
unajiuliza IS THIS PERSON SERIOUS!!!!!!!!!!!nyie mnaoomba lazi muwe basi serious katika uandikaji
wa CV zenu na hizo cover letter

Interview ilivofika ilikuwa vituko tunajua kiingereza kilikuja kwa meli lakin tujitahidi jamani maana
it is a disaster when it comes to ORAL INTERVIEW maana kuna mtu tulimuuliza why should we hire
you? YESU NA MARIA alivyojibu naomba niishie hapa.unaweza kuwa unalalamika kila siku hupati kazi
kumbe wewe mwenyewe ndio tatizo

nawatakia kila la kheri Ndugu zangu
 
mimi ni miezi miwili 2 tangu njmalize chuo nimeitwa mara mbili 2 kwenye interview ila sikwenda mimi naona ujanja kujiajiri 2 tafuta wenzzako muandaee project munaweza kufanikiwa mimi mwenyewe nikiangalia vyeti vyangu mpaka naona uchungu ila 2014 kwa uweza wa MUNGUlazima nifungue kampuni kitu kinacho tuangusha hatuna ushirikiano

C.E.O utakuwa wewe......

H.R wewe

Receptionist wewe!!!!!!

Kila mtu angekuwa na kampuni yake unadhani ingekuwaje
 
Wahusika wa kichwa cha habari hapo juu.

Salam kwenu.

Naomba tujadiri ni kipi kimetukwamisha kupata ajira hadi leo? Tunaanza mwaka mpya sasa, ebu tujifunze kupitia makosa tuliofanya mwaka 2013. Mimi kwa upande wangu, baadhi ya mambo ninayodhania/amini yaliyosababisha nikashindwa kuitwa interview/kukosa ajira etc ni haya:

1. Kushindwa kuandaa CV na cover letter ya kumshawishi "boss" pindi anaposoma.

2. Nafasi zilizotangazwa za career yangu ni chache sana, hivyo competition ikawa kubwa.

3. Kukosa baadhi ya "email address hai" za makampuni pindi tunapoamua kutuma maombi ata kama nafasi hazijatangazwa. Nyingi tunazozipata za mitandaoni zilishaachwa kutumika.

4. Kukosa fedha za kutuma barua nyingi kwa posta au kupeleka "By hand" hivyo kuamua kutumia njia cheap ya email ambayo kusema kweli sio bora sana maana ni email chache zinamfikia mlengwa.

5. Kukosa work experience kabisa, hivyo makampuni (nadhani) yanatuona kama tutakua mizigo.

6. Kutokua na connection kabisa.

7. .......

Unaweza kuendelea.

Nimejitahidi kufupisha.

NB: Hayo mambo nayafanyia kazi na nayarekebisha yoote yale yaliochini ya uwezo wangu, ili mwaka 2014 uwe wa MAFANIKIO.

7. Kuendelea na akili mgando za kudhani kwamba kuajiriwa ni bora kuliko kujiajiri.

8. Kudhani kwamba ili kujiajiri ni lazima uwe na mtaji pesa wakati una akili kichwani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
halafu kuna watu hawako serious kuna siku tulikuwa tumetoa nafasi za kazi zikaja CV unakaa
unajiuliza IS THIS PERSON SERIOUS!!!!!!!!!!!nyie mnaoomba lazi muwe basi serious katika uandikaji
wa CV zenu na hizo cover letter

Interview ilivofika ilikuwa vituko tunajua kiingereza kilikuja kwa meli lakin tujitahidi jamani maana
it is a disaster when it comes to ORAL INTERVIEW maana kuna mtu tulimuuliza why should we hire
you? YESU NA MARIA alivyojibu naomba niishie hapa.unaweza kuwa unalalamika kila siku hupati kazi
kumbe wewe mwenyewe ndio tatizo

nawatakia kila la kheri Ndugu zangu
yah ni kweli penye njaa kila m2 atajifanya anajua mimi nilijitaidi kujua mambo kipindi nipo chuo ili nisipate shida kwenye inteerview
 
7. Kuendelea na akili mgando za kudhani kwamba kuajiriwa ni bora kuliko kujiajiri.

8. Kudhani kwamba ili kujiajiri ni lazima uwe na mtaji pesa wakati una akili kichwani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu hapo namba 8 tueleze unavoweza tumia akili bila pesa km mtaji! Honestly, HAIWEZEKANI.
 
Back
Top Bottom